Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

1661007347474.png
 

Mkuu kwanza hongera niomeona trade zako ni nzuri unakitu unakitafuta. Sema jitahidi stop loss au maana naona nyingi zinakua fikiwa then trade zinaendelea.

Ku control hii punguza early entry au jaribu kuwa kwenye screen yako kutazama trade pasipo stop loss ila inaitaji roho ngumu[emoji3]

Ni ayo tuu but hongera
 
Mkuu kwanza hongera niomeona trade zako ni nzuri unakitu unakitafuta. Sema jitahidi stop loss au maana naona nyingi zinakua fikiwa then trade zinaendelea.

Ku control hii punguza early entry au jaribu kuwa kwenye screen yako kutazama trade pasipo stop loss ila inaitaji roho ngumu[emoji3]

Ni ayo tuu but hongera
Amina sana boss nitayafanyia kazi.
 
Habari Wana jamii forums

Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.

Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017 ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali ili kupata ujuzi.

Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.

Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.

NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho

Karibuni nyote.
Broo ujapata mtu na mm natafuta pakutokea umo umo 😅
 
Fanya hivi ingia fbs traders online website fungua demo account limit account yako iendane na real account nikimaanisha kwenye amount weka 50 usd kisha spread tumia 1:100 halafu share na sisi account dertails zako kisha tuta login kwenye mt4 zetu na wewe login kwenye yako kisha tutafuatilia tradings zako for the comming weeks kuanzia j3.

Kisha tukiridhika tunafund easy as that man show us what you've got through actions .

Na kama hautojali unaweza kuniorodheshea strategies unazotumia? Na kama unatumia bots au indicators ?
Npo tayari kwa hii challenge
 
Back
Top Bottom