Namanage Account za Forex

Unaweza ukazijua ila kuziishi Huwa ndo mtihani na market ni kitu psychological tambua hilo And mind you ukiona mtu anakwambia weka kiasi kadhaa utapata kiasi kadhaa ni mwongo soko halitupatii kwa style hio
 
Kwenye katiba mpya account managers wasajiliwe na kuanza kulipa kodi
 
Kama Wewe kweli ni trader mzuri, kwa nini usitrade mwenyewe, why unahitaji watu? Nyinyi matapeli na msiojua how forex trading works mnaichafua sana hii biashara.
 
Una Nini ambacho kinaonyesha kuwa uko competent Sasa.
Ukiwa competent ukimeki hela watu tutakutafuta wenyewe ili umeneji hela zetu hata huko ulikozaliwa huwa wanatafutwa wenyewe Ila sio kujinadi
Sure kwa uzoefu wangu mtu akiwa compentent na yupo real hafake fake vitu investors huwa wanamtafuta wenyewe hafu mbaya zaidi competent trader huwa anakataaa kumanage accounts sasa coz profits zinamtosha.An utakuta watu wanambembeleza ila jamaaa anakaza
 
Hata wachungaji hawajaishika bibilia yote wala masheihk hawajaishika Quruan yote lakini still make people realize kwamba God is real and Abel...common msikuwe much knowz fellow Tanzanians☺️
 
Kama Wewe kweli ni trader mzuri, kwa nini usitrade mwenyewe, why unahitaji watu? Nyinyi matapeli ma msiojua how forex trading works mnaichafua sana hii biashara.
Umeona na wauza signals,wafundishaji na huku hawana mtaala uliopitishwa yaani mtu kumeza PDF na YouTube videos unapiga demo unajiita trader.
Make money like 10yrs consistently day in day out or month after months.
 
Hata wachungaji hawajaishika bibilia yote wala masheihk hawajaishika Quruan yote lakini still make people realize kwamba God is real and Abel...common msikuwe much knowz fellow Tanzanians☺️
Wewe ni either tapeli au hujui na hujaijua bado forex na trading kwa ujumla. Ninachoweza kukushauri, endelea kujifunza alafu usipagawe na vifaida vidogo unavyopata ukajiona wewe tayari ni champion wa forex.
 
We differ kama vidole Mr. Jiulize kwann watatu ndo maximum na naendelea kifikiria kuweka limit ya age soon
 
Hata wachungaji hawajaishika bibilia yote wala masheihk hawajaishika Quruan yote lakini still make people realize kwamba God is real and Abel...common msikuwe much knowz fellow Tanzanians☺️
Hahahahah show real things here.Hizi ni hela mzeeee zinatafutwa.kuna jamaa kasema uweke screenshoot ya faida zako hapa umeanza kusema mara nikifake.Why ufake akati wewe ni trader mzuri ,unafake ili iwaje an
 
Sure Mana Yuko Satisfied na hela anazomeki kuliko za watu. Hii kitu ukiijua unaweza triple account yako in a day hata bila ya risk Wala Nini sio kuwa Ni greed.
Right education iko wapi kila mtu Ana elimu yake
 
Kama Wewe kweli ni trader mzuri, kwa nini usitrade mwenyewe, why unahitaji watu? Nyinyi matapeli na msiojua how forex trading works mnaichafua sana hii biashara.
Thanx kaka tapeli sio...☺️☺️ That is my country na Sina nyingine ndafanyaje Sasa daah hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…