Namanage Account za Forex

Umeona na wauza signals,wafundishaji na huku hawana mtaala uliopitishwa yaani mtu kumeza PDF na YouTube videos unapiga demo unajiita trader.
Make money like 10yrs consistently day in day out or month after months.
Hawa vijana wa kiswahili wana matatizo mnoo, wakianza kutrade wakipata vifaida viwili vitatu wanaanza kujiona tayari ni Gurus, wanaanza mbwembwe na show offs mitandaoni🤣🤣🤣
 
Tumia hela zako mwenyewe eti kwa Nini watatu so unatutishia uonekane kuwa uko special na huku hujawahi kumeki $10k profit in your bank account labda unaiona kwa mt4 na brokers wanatoa label ya real account na ndio Mana huwa wale show off hawaonyeshi info zote.
Mie nishawishi kwa muamala wa benki
We differ kama vidole Mr. Jiulize kwann watatu ndo maximum na naendelea kifikiria kuweka limit ya age soon
 

Kwa ushauli wangu. Ungekua unatrade kwa mtaji wako tu mwanang. Icho kitu unataka kufanya kitakucost.
 
Hawa vijana wa kiswahili wana matatizo mnoo, wakianza kutrade wakipata vifaida viwili vitatu wanaanza kujiona tayari ni Gurus, wanaanza mbwembwe na show offs mitandaoni🤣🤣🤣
Ngoja nipige picha nikiwa malaika huku napata easy money, Mara Niko kwa apartment matata,Mara Niko na rolex watch yaani mamicheni Kama yote na mabegi ya Gucci
 
Nimekwambia "either or" sasa kama umechagua hilo la utapeli it ok. All i can tell you is Grind in Silence. Kama kweli wewe ni serious and profitable trader usingethubutu kuja humu JF kutafuta Vichwa.
Personal Decisions mr
 
Toka awe profitable hajawahi manage tena accounts ,Sjui wewe ulienza trading kitambo na profitable bado unataka vuchwa vya kumanage
Kwan sir Jeff sio profitable we uko Dunia gan Kwan Mr..☺️☺️
 
Najitofautisha kwa kutokuwa na porojo nyingi..basii and simlazimishi mtu namtanguliza Mungu nakufanyia nnachokiamini maana hata nilivyoioata edge/strategy najua mm na Mungu wangu
Strategy don't make you money trading Wala kuwa guru wa Kuna analyze mkuu. Am here strategies mbona zipo nyingi mno mtandaoni na hata ukigugo zinapatikana ambazo hata Richard Dennis alitumia na Ile ligi yake na William Eckhardt kwa turtle traders ipp free na je mbona bado wanapoteza hela.
Am repeating confidently there are more in trading than head shoulders, doublebottom/top patterns
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…