Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

Umeona na wauza signals,wafundishaji na huku hawana mtaala uliopitishwa yaani mtu kumeza PDF na YouTube videos unapiga demo unajiita trader.
Make money like 10yrs consistently day in day out or month after months.
Hawa vijana wa kiswahili wana matatizo mnoo, wakianza kutrade wakipata vifaida viwili vitatu wanaanza kujiona tayari ni Gurus, wanaanza mbwembwe na show offs mitandaoni🤣🤣🤣
 
Tumia hela zako mwenyewe eti kwa Nini watatu so unatutishia uonekane kuwa uko special na huku hujawahi kumeki $10k profit in your bank account labda unaiona kwa mt4 na brokers wanatoa label ya real account na ndio Mana huwa wale show off hawaonyeshi info zote.
Mie nishawishi kwa muamala wa benki
We differ kama vidole Mr. Jiulize kwann watatu ndo maximum na naendelea kifikiria kuweka limit ya age soon
 
Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.

Kwa ushauli wangu. Ungekua unatrade kwa mtaji wako tu mwanang. Icho kitu unataka kufanya kitakucost.
 
Hawa vijana wa kiswahili wana matatizo mnoo, wakianza kutrade wakipata vifaida viwili vitatu wanaanza kujiona tayari ni Gurus, wanaanza mbwembwe na show offs mitandaoni🤣🤣🤣
Ngoja nipige picha nikiwa malaika huku napata easy money, Mara Niko kwa apartment matata,Mara Niko na rolex watch yaani mamicheni Kama yote na mabegi ya Gucci
 
Nimekwambia "either or" sasa kama umechagua hilo la utapeli it ok. All i can tell you is Grind in Silence. Kama kweli wewe ni serious and profitable trader usingethubutu kuja humu JF kutafuta Vichwa.
Personal Decisions mr
 
Najitofautisha kwa kutokuwa na porojo nyingi..basii and simlazimishi mtu namtanguliza Mungu nakufanyia nnachokiamini maana hata nilivyoioata edge/strategy najua mm na Mungu wangu
Strategy don't make you money trading Wala kuwa guru wa Kuna analyze mkuu. Am here strategies mbona zipo nyingi mno mtandaoni na hata ukigugo zinapatikana ambazo hata Richard Dennis alitumia na Ile ligi yake na William Eckhardt kwa turtle traders ipp free na je mbona bado wanapoteza hela.
Am repeating confidently there are more in trading than head shoulders, doublebottom/top patterns
 
Back
Top Bottom