Namanage Account za Forex

Mi siezi kukublock mzee sio dhaifu hivyo mm emotionally 😂😂
 
Si unajua nikiwa na accounts Kama nne mbili nabai mbili zingine naseli the same financial instruments. So huku napata hasara huku naunguza. Hizi mbili za faida nazitumia Kama tangazo kuwavuta wengine yaani trendi inaenda ivyoivyo mpaka Basi. Yaani nikiamka vibaya ya kwako naweka buy ya mwingine sell so lazima uunguze huyu nadabo Mana natumia huge lot
Ndo mana anatafuta accounts
 
Mi ni trader sio gambler
 
Elewa kilichoandikwa sio lazima awe fbs anaweza awe mwingne swala uweze kulimit demo balance iwe kama real af share investor pass tukufatikie progress ako
Easy sana hili swala ko tunaanza soko kikifungua this week sio
 
Umekosea njia aisee mtu wa JF ukimwambia mambo ya Fx anakuona kama kichaa ile ni kamari kama kamari nyngne dogo tafta kaz au trade mwenyewe ukiona mtu anajiita Money sjui fx mental ujue amna kitu
Fx si kamari mkuu ni biashara sawa na nyengine na inahitaji elimu kubwa na pia uwe vizuri kwenye kuongoza hisia zako.

Wanaosema ni kamari ni wale walioingia bila kuwa na elimu nayo au kuna mtu aliwaingiza kwa nia ya kuwatapeli kisha akawapiga pesa akakimbia.

Na kingine wasichoelewa watu ni kwamba biashara yoyote ile ina hasara ila ili upate faida inakubidi uangalie njia ya kufanya hasara iwe ndogo hapo utaona mafanikio.

Sasa wale wanaojitapa kwamba hawajawahi pata loss ni wa kuangalia mara mbili.
 
Na mgawanyo wa hasara je?
 
Ukirudi online soma post namba #121 kisha ulete mrejesho
 
This is too good to be true. Napata wasiwasi na nia yako ya ukweli.

Kwa trader mzuri kama wewe badala ya kuhangaika na management za account za watu wengine ungeweza tu kutrade zako mwenyewe kwa huo mtaji wako mdogo ulioupata kwenye kazi yako ya kusafisha masinki.


Tunatoa huduma ya kusugua masinki na marumaru
 
Umesema vizuri ndomana kunasehemu niliweka wazi kwamba katika risk management tuna tumia 1:3 as minimum lakini strategy inaweza kukupa hata mpk 1:8 na kuendelea kulingana na analysis Yako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…