Namanage Account za Forex

Trade pesa zako bana. Kafanye kazi then fund account yako. Pili ww huna ndugu wenye pesa hiyo alafu uwafanye mamimionea?
 
Reactions: 911
Trade pesa zako bana. Kafanye kazi then fund account yako. Pili ww huna ndugu wenye pesa hiyo alafu uwafanye mamimionea?
Amna nandoto za kuwa president kama ww boss....na mm niitwe mteuleπŸ˜„
 
Mida ya Analysis ya wiki ijayoowakuu karibuni tupeane updates kwa ambao tupo pamoja....maana kesho ni siku ya kumshukuru Mungu kwa uhai na kujiandaa na soko j3
 
Tutaelewana tuh taratibu kaka
Mbona haujatoa majibu ya post #121 mengine yoote umejibu ila hiyo post unaivuka?

N.b
Price action +top down a alysis huwa inatumika na beginners wanaoanza ku trade maana haina mambo mengi na ku delay entries huwa ni kawaida sana kwao .

So baada ya kunitajia hivyo nimeshagundua wewe ni trader wa aina gani no offence.
 
Unajua maana ya transitional na swinger wise man
Transitional trading ? Means unaingia at low time frame closer to the resistance of a given pair ila una trace loss au ku increase profit at higher time frame !

Why getting so technical na haunijibu post yangu ya #121 ?
 
Mida ya Analysis ya wiki ijayoowakuu karibuni tupeane updates kwa ambao tupo pamoja....maana kesho ni siku ya kumshukuru Mungu kwa uhai na kujiandaa na soko j3
Tuma login na password zako za demo kwanza tuangalie kama unafaa kusaidika
 
Much know tuh huna lolote kaka Kwan lengo ni kutengeneza pesa ama kutumia strategy ngumu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wabongo nyoso khaaa
 
Ach
Transitional trading ? Means unaingia at low time frame closer to the resistance of a given pair ila una trace loss au ku increase profit at higher time frame !

Why getting so technical na haunijibu post yangu ya #121 ?
Achana na huyu newbie kwenye industry
 
Jibu la watu kama nyie huwa ni rahisi sana. Kwanini usimshawishi mzee wako auze kiwanja au nyumba ili mtengeneze hela, au unapenda muendelee kuwa masikini
Kashauriwa aweke tangazo lake la utapeli hapa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…