Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Karma ni pamoja na Wewe kushindwa kupea mahitaji mwili wako
Huyu ni "karma" tu inasubiri juu ya kesho yake. Kwa maana kwa imani ya dini yoyote ile maamuzi yake yaliikosea mbingu na dunia.
 
Aisee Zanzibar ni balaa hata Jecha mzee anataka safari hii atangazwe yeye
 
Connecting the Dots,Jecha alikuwa au amekuwa MwanaCCM kabla,wakati au baada ya kustaafu uenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar? Hata aibu hawana tena,Tume za Uchaguzi kuongozwa na makada.Bado tunasubiri chaguzi Huru, halali na credible kwa aina hii ya watawala?
 
Aibu kubwa sana kwa Nchi
 
Hahahahha hii kiboko, CUF na maalim Seif hawatamsahau
 
Kafupi kama "lishi lya kumalija!!"
 
Atawakomesha huyu wasimuamini sana, atawaambia ole wao wamkate jina Dodoma anatoa siri zote za 2015
Waliahidiana kuwa akipindua meza mnamo ile October 2015,atakayefuata baada ya Dr She in ndiye yeye.Hapo Mzee ameenda kudai chake,na itabidi wampe au...Nawaza tu kwa sababu siyo uthubutu wa kawaida huo.
 
Tunamlaumu trump bure tu, ila alikua sahihi this is a shithole kantri.
 
Halafu kweli sheria zinaruhusu aliyewahi kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kugombea siasani?
Hapana na kwa hapa nchi ilikofikishwa wanakuambia ukiwa CCM,unakuwa juu ya sheria zote za Tanzania kwa sasa.Sheria hazifuatwi na hakuna wa kukemea,tupo in mute state/mode.
 
Jecha hajaacha kuwa ccm mtiifu muda wote. Huyu alikuwa mtia nia mgombea wa ubunge ndani ya ccm jimbo LA Amani Zanzibar mwaka 2005. Kura hazikutosha. Ni mwana kitengo mstaafu.

Huyu ndie aliyeisaidia CCM kufuta uchaguzi halali WA 2015.

Alisingizia kuumwa na tumbo LA kuendesha Ama kuharisha. Wakiwa wenzake wanamsubiri kuja kumalizia mchakato pale bwawani. Ghafla ilisikika sauti pale ZBC TV. Akifuta uchaguzi bola maafikiano na wajumbe.

Leo hii ni mtia nia WA urais kupitia Ccm.

CCM inachezea amani ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…