Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

So ccm wanafata mfano wa Chadema?

2 wrongs doesn't make one right bwashee
Kajiunga sisiemu lini huyu jecha? Unazo taarifa? Una uhakika ni wiki hii? Chadema ilikuwa masaa 100 tu wakampa mtu kuoeperusha bendera...
 
Kajiunga sisiemu lini huyu jecha? Unazo taarifa? Una uhakika ni wiki hii? Chadema ilikuwa masaa 100 tu wakampa mtu kuoeperusha bendera...
Mimi sijui kajiunga lini pili mimi sijasema Chadema walikuwa sahihi na ndio maana nikakukumbusha kuwa 2 wrongs doesn't make one right! Lakini pia swala langu la msingi lilikuwa je tuchukulie amejiunga baada tu ya uchaguzi, je huu muda unatosha kuiva kichama hadi kupewa dhamana ya kupeperusha bendera ya chama!
 
2433610_Ea9IfwOXkAAock1.jpg

Hii inathibitisha bila shaka yoyote kwamba watumishi wa Tume ya uchaguzi ni wanaCCM na kwa wao kusimamia uchaguzi ni kinyume cha katiba ya nchi.

Jambo hili linadhalilisha Mahakama ya Tanzania na inathibitisha pasipo na shaka yoyote kwamba Mahakama si huru wala si Mhimili unaojitegemea.

Nakulilia Tanzania.
 
Back
Top Bottom