Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Mkuu hao watu tulisha wajua na tumesema sana na kukemea lkn hakuna mwenye kutusikiliza sasa ndiyo hao wanajitangaza kweuupeeee kuwa ni makada wa chama tawala
 
Aisee
Jecha hajaacha kuwa ccm mtiifu muda wote. Huyu alikuwa mtia nia mgombea wa ubunge ndani ya ccm jimbo LA Amani Zanzibar mwaka 2005. Kura hazikutosha. Ni mwana kitengo mstaafu.

Huyu ndie aliyeisaidia CCM kufuta uchaguzi halali WA 2015...
 
chadema hata kupika hamjui.. Hamuwezi kushika hatamu.. Binadamu wana akili sana.. No CCM tuna akili sana
 
Haya ni maajabu mengine,kumbe mtu ni mtumishi wa Tume,the same time ana kadi ya chama
 
Baada ya uchaguzi wa 2015 mtoto wa Lubuva (Jaji) alipewa ukurugenzi wa Wilaya Mwanga
 
Watanzania chagueni kutumia wingi wa kura zenu kuleta manadiliko au kubalini ccm watumie mabomu kulazimisha agenda zao
 
Wameanza kuonyesha rangi zao halisi,Jecha kasmua kuonyesha rangi yake halisi.
 
Atawakomesha huyu wasimuamini sana, atawaambia ole wao wamkate jina Dodoma anatoa siri zote za 2015

Huyo mzee anajitafutia shida tu ccm hawachelewi kukolimba

Vuta picha ya Mangula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…