Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu hao watu tulisha wajua na tumesema sana na kukemea lkn hakuna mwenye kutusikiliza sasa ndiyo hao wanajitangaza kweuupeeee kuwa ni makada wa chama tawala
View attachment 1484300
Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM.
Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni.
Maoni yangu:
Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi watatenda haki kweli? Kwani wote ni makada ukimjumlisha na yule alieteuliwa jana.