MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
kakojoe ukalale
Jpm ni Rais, je anatoka tabaka la watawala?
Mzee wa kuingia uwanjani huku akijua goli ngapi ngapi leoJecha alijizolea umaarufu sana mwaka 2015.
Anajua siri ya mchezo huyo.
Ni upuuzi kuwa na wenyeviti wa Tume za uchaguzi wa aina hii. Mfumo wetu wa uchaguzi unakera sana basi tu.
Huyu mtu alifanya niichukie siasa. Na nimeamua kwa tume hiz sutokuja kupoteza muda wangu kupiga kura.
'Wenyeviti wa aina hii'. Ipi hiyo? Fafanua dukuduku yako ili tuweze kuchangia kama ulivyotarajia kwa kuanzisha uzi.Ni upuuzi kuwa na wenyeviti wa Tume za uchaguzi wa aina hii. Mfumo wetu wa uchaguzi unakera sana basi tu.
Jecha amejiunga lini na CCM?Akistaafu anaruhusiwa kujiunga na chama chochote cha siasa Mkuu
Baada ya kustaafuJecha amejiunga lini na CCM?
Jecha amejiunga lini na CCM?
Huyo mtu ni hatari sana kwa wizi wa haki za wananchiJecha Salim jecha
Huyo mtu ni hatari sana kwa wizi wa haki za wananchi
Kwani ameteuliwa au ameomba kuteuliwa? CHADEMA mnakwama wapi?Miaka 3 inatosha kukijua chama na kuamininiwa hadi kuomba kuteuliwa nafasi ya Urais wa nchi?
Miaka 3 inatosha kukijua chama na kuamininiwa hadi kuomba kuteuliwa nafasi ya Urais wa nchi?