Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Kuna dalili kubwa kuwa Tume zetu za uchaguzi sio huru.

Unaposikia aliyekuwa jaji mkuu au Mwenyekiti wa tume ya uchanguzi anagombea nafasi ya uongozi kupitia chama fulani inamaanisha alikuwa hatendi haki kwenye nafasi aliyokuwa nayo hasa kwa wanasiasa wa vyama vingine.

Mungu atawaona
 
Tido Mhando akimhoji Azam two alimuuliza kabla ya kufuta uchaguz uliwasiliana na Dr Shein akajib kuwa yeye kama Nahodha aliekabidhiwa 'chombo' akiona kinazama baharin jukumu lake la kwanza ni kuokoa chombo kinachozama au kuwasiliana na mwenye chombo? Tido akajikuta kapata jibu kwa njia ya swali
Huyo mtu ni hatari sana kwa wizi wa haki za wananchi
 
Madai kwamba hizi tume ni za ccm yanazidi kudhihirika kila uchao.

Kama kwa hizi tume ndio ccm wanahangaika hivi je ikipatikana tume huru itakuwaje??
 
Back
Top Bottom