Kwani nyie chadema hamtarajiii kushinda urais kule?Mkuu Bora huyu awe raisi, amekulia kwenye mazingira ya uongozi, hawa wengine akina kajambakoti wakipewa madaraka ni wasumbufu sana, nadhani mifano unaijua.
Hivi Karume, Jumbe, Mwinyi, Abdulwakiil, Salmin nao baba zao walikuwa viongozi!? Punguzeni basi uchawi enyi kizazi cha ufipa!!Ifike wakati tabia ya kurithishana madaraka ya nchi ikomeshwe , Wazanzibar ambao baba zao hawakuwa viongozi hawana haki ya kuwania uongozi ?
Baraza la mawaziri halijavunjwa bado weweWaziri wa ulinzi na JKT wa nchi gani?
Tanzania hakuna uwaziri bila ubunge, na bunge limevunjwa jana.
Na akimsikia atamtundu lisu hadi akajifiche ubelgijiShiiiii ongea taratibu ? unamwongelea Mbowe na Joyce mukya mbunge viti maalumu kimafumbo? ASIKUSIKIE MBOWE shauri yako
Wewe ungekuwa na sifa usingekuwa nyumba ndogo ya MboweHana sifa
Una uhakikaWaziri wa ulinzi na JKT wa nchi gani?
Tanzania hakuna uwaziri bila ubunge, na bunge limevunjwa jana.
Magufuli anapindua meza, hamtakaa muamini.Hii ngumu kumeza. Labda baada ya miaka 1000
Zanzibar ni kama popo.Mamluki wa Tanganyika,
Zanziibar inapangiwa raisi na Tanganyika
Acha tu awe mpole. Watu tujipigieMpole sana huyu inabidi aende kozi ya ukali...
mijizi ya bara itamsumbua sana...
Ndugai mropokaji tuHoja ya ndugai ya kumuongeza mda yesu?
Muulize Magu anafahamu Mkapa ni nanimkapa yeye ni nani kwani?
Tuombe uhaiMzee Rhuksa ².Hapa kipindi chake mtu usipokuwa billionea basi wewe utakuwa poyoyo. 2026 nitakuwa billionea.
Still waters run deepHuyu ndio Rais Mtarajiwa.
Yupo nyuma ya system na amekuwa waziri wa ulinzi kwa kipindi kirefu bila kubadilishwa. Tatizo lake ni mpole sana, sio mtu wa maamuzi magumu. Atakuwa kwenye wakati mgumu iwapo wazenji wakikinukisha kuhusu suala la Muungano.
Namtakia kila la kheri
Wazenji hawajahi kuwa na kiongozi wanayemtaka. Mara zote wanapangiwa viongozi na watu wa TanganyikaHatimaye romours za long time zimetokea kweli.
Anyway,wazenji wachague wanaye mtaka
Inasemekana ivyoWazenji hawajahi kuwa na kiongozi wanayemtaka. Mara zote wanapangiwa viongozi na watu wa Tanganyika
Huyu nyumbu watoto wake watarithi chuki,roho mbaya na uchawiMkuu uongozi ni kama vipaji vingine ambavyo mtoto anaweza kujifunza au kurithi kutoka kwa wazazi ni jambo la kawaida tu Kama kwenye masuala mengine ya michezo,muziki,ufundi,mapishi n.k
Na katika makuzi ya mtoto anajifunza zaidi vitu anavyoviona kuliko anavyoambiwa.
Siyo sahihi sana kusema wanarithi uongozi sababu tafasiri ya neno kurithi ni pana, katika mfumo wa kidemokrasia ambao watu huamua na chugua kiongozi wanae mtaka inakosa maana.
overrated tu hana chochote kileMuulize Magu anafahamu Mkapa ni nani