Acha zako wewe ubunge ndio urais?
Nan kakwambia nyerere alikuw mbunge
Wewe bwege huko ndiko wanakoanzia kwenye ubunge!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha zako wewe ubunge ndio urais?
Nan kakwambia nyerere alikuw mbunge
Hawawezi kuingia ikulu wapemba wawili kwa kufuatana. Wahafidhina wa kiunguja hawatokubali katu asilaani.Choice yangu mimi ni Prof Mbarawa.
Huyu baba ni jembe jmani. Wazanzibar wamshawishi huyu baba achukue form. Anaju kazi na pia hajikwezi.. Yuko simple and humble... Ataipeleka Zanzibar mbali..
Jifunze kutofautisha sasa unataka wakafanye kazi gani we kunguni mzeeWewe bwege huko ndiko wanakoanzia kwenye ubunge!!!
Hawezi kuwa Rais mzuri kafata tabia zote za baba yake mzee karume(ubabe ubabe)alivyokua anaongea baada ya kuchukua fomu anaonekana mtu wa masihara sana
huyu Hussein Tumemwandaa muda mrefu sana na sasa ameshaiva
kweli hata ongea yake anaonesha ni mbabe mbabe ila anavutia kumsikilizaHawezi kuwa Rais mzuri kafata tabia zote za baba yake mzee karume(ubabe ubabe)
Uwezo wa Balozi ali karume unaishia kwenye uwaziri na hawezi kwenda zaidi ya hapo.
Jifunze kutofautisha sasa unataka wakafanye kazi gani we kunguni mzee
Ndio hizo za ubunge ndizo tunazofanyaKazi zile zile wewe na dada zako mnazofanya nao wafanye!!!
Hilo ndio tatizo la Ccm na WazanzibarHawawezi kuingia ikulu wapemba wawili kwa kufuatana. Wahafidhina wa kiunguja hawatokubali katu asilaani.
Je ina maana prof ataula bara? Let us keep silence ila ninavyo ona huyu watamkata jina pamoja na karume ila atakuja chaguliwa bara ccm noma sanaMbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.
Sijaelewa unapinga hoja yangu au unaniunga mkono labda nikushauri urudi kusoma nilichokiandika. Katika hoja yangu sijapinga au kukataa dr Hussein kushika nafasi yoyote ile ya juu au ya chini.Mbona wako watoto wa viongozi wengi tu nchi hii? Wangapi wana sifa za kupigiwa mfano kama Dr. Hussein Mwinyi?
Tatizo siyo baba kuwa Rais, ila yeye mtoto mwenyewe ana sifa mpaka za ziada?
Utaona Dr. Mwinyi ni wa kipekee hata pamoja na kuwa mtoto wa kiongozi na kukaa madarakani kwa muda mrefu, aliendelea kujiheshimu, kuheshimu mamlaka na hata kuwa Waziri wa ulinzi kwa sawa mbili bila kusikia mtafaruki au mvurugano kwa majeshi yetu. He je si sifa stahiki kuaminiwa kwa nafasi ya juu?
Wewe picha hiyo Mwinyi Bara baada ya MagufuliHilo ndio tatizo la Ccm na Wazanzibar
Ila Prof ni kifaa. Hahitaji hata nguvu kubwa kumnadi. Kazi zake zina muuza. Na jinsi anavyo jichanganya na watu. Hebu niambie ni wapi ume wahi kukutana na Hussein Mwinyi? Hana mvuto kwa watu kama Prof..
Sawa tu!!Mmemuandaa kuja kuwa dalali wa wahindi kwani ndio partners wake wa biashara; sidhani kama atakuwa na msaada kwa wazanzibari wa kawaida!!!
Hoja ni kwamba wasitumie umaarufu wa wazazi wao kupata madarakaMkuu uongozi ni kama vipaji vingine ambavyo mtoto anaweza kujifunza au kurithi kutoka kwa wazazi ni jambo la kawaida tu Kama kwenye masuala mengine ya michezo,muziki,ufundi,mapishi n.k
Na katika makuzi ya mtoto anajifunza zaidi vitu anavyoviona kuliko anavyoambiwa.
Siyo sahihi sana kusema wanarithi uongozi sababu tafasiri ya neno kurithi ni pana, katika mfumo wa kidemokrasia ambao watu huamua na chugua kiongozi wanae mtaka inakosa maana.
😆😆😆😆 imebidi nicheke tuMkuu Bora huyu awe raisi, amekulia kwenye mazingira ya uongozi, hawa wengine akina kajambakoti wakipewa madaraka ni wasumbufu sana, nadhani mifano unaijua.
Basi ungesema hivyo labda ningekuelewa, japo pia umaarufu siyo kigezo ikiwa binafsi haujakipambania hicho unachokitaka kwa namna moja ama nyingine, pambania halafu umaarufu ukubebe hapa siyo kesi.Hoja ni kwamba wasitumie umaarufu wa wazazi wao kupata madaraka
Kaka tuchatiHuku bara Bashiru aliandaa form moja tu ambayo imeshachukuliwa na Magufuli.
Sikuwaza rais atakimbilia tochaKuna wakati maisha yanakuchagulia uwe nani ufanye nini,usikariri jifunze kutokana na covid-19 imetuchangulia namna ya kuishi, uliwahi kuwaza ipo siku utatembea umevaa barakoa?