Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Zanzibar 2020 Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Choice yangu mimi ni Prof Mbarawa.
Huyu baba ni jembe jmani. Wazanzibar wamshawishi huyu baba achukue form. Anaju kazi na pia hajikwezi.. Yuko simple and humble... Ataipeleka Zanzibar mbali..
Hawawezi kuingia ikulu wapemba wawili kwa kufuatana. Wahafidhina wa kiunguja hawatokubali katu asilaani.
 
alivyokua anaongea baada ya kuchukua fomu anaonekana mtu wa masihara sana
Hawezi kuwa Rais mzuri kafata tabia zote za baba yake mzee karume(ubabe ubabe)

Uwezo wa Balozi ali karume unaishia kwenye uwaziri na hawezi kwenda zaidi ya hapo.
 
Hawezi kuwa Rais mzuri kafata tabia zote za baba yake mzee karume(ubabe ubabe)

Uwezo wa Balozi ali karume unaishia kwenye uwaziri na hawezi kwenda zaidi ya hapo.
kweli hata ongea yake anaonesha ni mbabe mbabe ila anavutia kumsikiliza
 
Hawawezi kuingia ikulu wapemba wawili kwa kufuatana. Wahafidhina wa kiunguja hawatokubali katu asilaani.
Hilo ndio tatizo la Ccm na Wazanzibar
Ila Prof ni kifaa. Hahitaji hata nguvu kubwa kumnadi. Kazi zake zina muuza. Na jinsi anavyo jichanganya na watu. Hebu niambie ni wapi ume wahi kukutana na Hussein Mwinyi? Hana mvuto kwa watu kama Prof..
 
Expected, kiukweli hakuna wa kumzuia. Jamaa anafaa sana
 
Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.

Je ina maana prof ataula bara? Let us keep silence ila ninavyo ona huyu watamkata jina pamoja na karume ila atakuja chaguliwa bara ccm noma sana
 
Mbona wako watoto wa viongozi wengi tu nchi hii? Wangapi wana sifa za kupigiwa mfano kama Dr. Hussein Mwinyi?

Tatizo siyo baba kuwa Rais, ila yeye mtoto mwenyewe ana sifa mpaka za ziada?

Utaona Dr. Mwinyi ni wa kipekee hata pamoja na kuwa mtoto wa kiongozi na kukaa madarakani kwa muda mrefu, aliendelea kujiheshimu, kuheshimu mamlaka na hata kuwa Waziri wa ulinzi kwa sawa mbili bila kusikia mtafaruki au mvurugano kwa majeshi yetu. He je si sifa stahiki kuaminiwa kwa nafasi ya juu?
Sijaelewa unapinga hoja yangu au unaniunga mkono labda nikushauri urudi kusoma nilichokiandika. Katika hoja yangu sijapinga au kukataa dr Hussein kushika nafasi yoyote ile ya juu au ya chini.
 
Hilo ndio tatizo la Ccm na Wazanzibar
Ila Prof ni kifaa. Hahitaji hata nguvu kubwa kumnadi. Kazi zake zina muuza. Na jinsi anavyo jichanganya na watu. Hebu niambie ni wapi ume wahi kukutana na Hussein Mwinyi? Hana mvuto kwa watu kama Prof..
Wewe picha hiyo Mwinyi Bara baada ya Magufuli
 
Hvi alilishughulikia vip suala la vijana wa jkt walioshiriki kwenye miradi mbali mbali ya ujenzi wa ukuta mererani ,nyumba 41 ,ikulu na ukonga waliofukuzwa kama mbwa kwenye kambi ya awali ya mafunzo ya kijeshi msata ili hali walipewa zawadi ya ajira na mh mpendwa wetu Dr john pombe Joseph magufuli
 
Mkuu uongozi ni kama vipaji vingine ambavyo mtoto anaweza kujifunza au kurithi kutoka kwa wazazi ni jambo la kawaida tu Kama kwenye masuala mengine ya michezo,muziki,ufundi,mapishi n.k

Na katika makuzi ya mtoto anajifunza zaidi vitu anavyoviona kuliko anavyoambiwa.

Siyo sahihi sana kusema wanarithi uongozi sababu tafasiri ya neno kurithi ni pana, katika mfumo wa kidemokrasia ambao watu huamua na chugua kiongozi wanae mtaka inakosa maana.
Hoja ni kwamba wasitumie umaarufu wa wazazi wao kupata madaraka
 
Hoja ni kwamba wasitumie umaarufu wa wazazi wao kupata madaraka
Basi ungesema hivyo labda ningekuelewa, japo pia umaarufu siyo kigezo ikiwa binafsi haujakipambania hicho unachokitaka kwa namna moja ama nyingine, pambania halafu umaarufu ukubebe hapa siyo kesi.
 
Back
Top Bottom