Dr. Hussein Mwinyi ni kiongozi wa pekee aliyeonyesha umahiri wa ajabu na nidhamu isiyo na mfano hata baada ya kukaa kwa muda mrefu sana kwenye nafasi za juu za uongozi. Kwakweli kwa mtu mwenye dhamira njema atakubaliana nami kuwa hicho ni kipaji. Very humble, obidient, understanding, asiye jikweza pamoja na kutoka kwenye familia ambayo imepata previllage ya kutoa Rais wa awamu ya pili, yet he maintained his composure...Siyo rahisi na ni wachache wa namna yake.
All the best kiongozi na Mungu akutangulie katika adhma yako hii njema ya kuwania nafasi ya juu zaidi huko Zanzibar, naamini Mungu hatakuacha wala kukupungukia.