Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Kama vile inakuja na kutoka, huenda ndiyo wasiotakiwa kuonekana kwenye rodi wanaonekana wakali.Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya ujenzi na huduma mbovu kwa jamii maana sasa uongozi uliopo ni kama kuna mashindano ya kukwapua mali na kodi za umma.
View attachment 3624839
Inabidi tuzidishe dozi kwa hawa manyang'au na wanyonyaji waliokosa akili.
Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya ujenzi na huduma mbovu kwa jamii maana sasa uongozi uliopo ni kama kuna mashindano ya kukwapua mali na kodi za umma.
View attachment 3624839
Inabidi tuzidishe dozi kwa hawa manyang'au na wanyonyaji waliokosa akili.
TOKA MAKTABA
2023 March 23
WALIOHUSIKA OPARESHENI LOLIONDO WATUHUMIWA KUTOWEKA KWA MWANANCHI
View: https://m.youtube.com/watch?v=ffjYDY1gRtMKesi ya kulazimishwa kupotea ( Enforced disappearance)kwa mzee Oriais Oleng’iyo (85) wa Ololosokwan, Loliondo katika Wilaya ya Ngorongoro Miscellaneous Criminal Application No. 67 of 2022 imeahirishwa hadi machi 30/2023 kwa ajili ya kusikilizwa mbele ya jaji Gwae wa mahakama kuu ya Tanzania, masijala ya Arusha ambapo mlalamikaji ambaye ni mtoto wa mzee Oriaisi anapaswa kuhudhuria mahakamani pamoja na walalamikiwa ambao wamehusika kwenye oparesheni ya kuweka vigingi eneo la Loliondo.
Madai ya Kupigwa risasi na kupotezwa kwa Mzee Oriais Oleng’iyo yameelezwa kuwa ni matokeo ya operesheni iliyofanyika Loliondo tarehe 10.06.2022 wakati wa uwekaji vigingi (beacons) eneo la vijiji 14 vya Loliondo lenye kilometa za mraba 1502.
Walalamikaji wanaiomba mahakamaIamuru walalamikiwa kumleta mahakamani Oriaisi Pasilange Ng’iyo ambaye amepelekwa kusiko julikana tangu alipokamatwa nyumbani kwake Engong’u Nairowa, Kata ya Ololosokwan, Loliondo wilaya ya Ngorongoro.
Ombi la pili ni mahakama ina amuru na kuwaelekeza walalamikiwa kumwachia huru Oriasi Pasilange Ng’iyo Kurosawa alikoshikiliwa tangu 10.06.2022.
Mahakama iamuru walalamikiwa waje Mahakamani kueleza sababu za kushikilia Oriasi Pasilange Ng’iyo kinyume cha Sheria. Pamoja na kuiomba mahakama iamuru na kuelekeza walalamikiwa kuleta mwili wa Oriasi Pasilange Ng’iyo akiwa hai au asipokuwa hai.
Sambamba na hilo wameomba walalamikiwaOCD - Ngorongoro, Kamanda wa polisi mkoa (RPC) wa Arusha, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Mkuu wa jeshi la polisi( IGP ) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wafike mahakamani kujibu tuhuma za utokuonekana kwa mkazi huyo wa Loliondo kwani kwa namna moja ama nyingine wanahusika kwa kile kilichoelezwa walihusika na zoezi la uwekaji vigingi eneo hilo.
Watetezi wao wengi ni malofa ambao unakuta hana hata square meter 600 tu za KIWANJA meter 30 kwa 20.Hii nchi saizi imekuwa ya walanguzi na wanakingiwa kifua na wapumbavu wasiojielewa kabisa.
na wao wanaichukua tu nzima nzima bila kufikiriusikute wamepewa na Maria Sarungi au Hilda Newton
Tuambie , hiyo barua ni fake ?Wapuuzi sana hawa wanaharakati, wanawajaza vijana hasira wakiwaaminisha nchi yao inaliwa kwa kutumia taarifa feki za kutunga wao wenyewe.
Watanzania wengi wameshawagundua kwamba wanaishi kwa kutegemea uchochezi hawawezi kuwapata vijana wengi wa kuwadanganya ili waingie mtaani kufanya fujo.
Wanatumia kigezo cha kutafuta haki katika kusambaza uongo wao mitandaoni, kwa kifupi imekula kwao.
huwa wanawaamini wanaowapa taarifana wao wanaichukua tu nzima nzima bila kufikiri
Hiyo barua nina uhakika ni fekelo. Umiliki wa ardhi unaweza ukawa chini ya serikali ikiwemo halmashauri ya kijiji, mtu binafsi, taasisi au kikundi cha watu. HAKUNA UMUILIKI WA ARDHI UNAORASIMISHWA KWA CHEO CHA MTU. Ukisema ni mmili ni Rais wa JMT, itakuwaje siku akistaafu urais?? Au ukisema umiliki ni wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbinga, itakuwa siku mkurugenzi husika akihamishwa au akistaafu??Tuambie , hiyo barua ni fake ?
Kijiji kilichotajwa kipo au la ?
Wamasai walihamishwa kwa nguvu au sio ? Usitoe maelezo yasiyojibu tuhuma au jambo lonaloongelewa.
Ukisema ni fake, wakati sahihi na jina la mwandishi lipo. Na nukuu ya sheria ya ardhi na kila kitu umekiona, basi hata wale wamasai tuliowaona wakipandishwa malori kuhama kwa nguvu, ilikuwa maigizo.Hiyo barua nina uhakika ni fekelo. Umiliki wa ardhi unaweza ukawa chini ya serikali ikiwemo halmashauri ya kijiji, mtu binafsi, taasisi au kikundi cha watu. HAKUNA UMUILIKI WA ARDHI UNAORASIMISHWA KWA CHEO CHA MTU. Ukisema ni mmili ni Rais wa JMT, itakuwaje siku akistaafu urais?? Au ukisema umiliki ni wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbinga, itakuwa siku mkurugenzi husika akihamishwa au akistaafu??
Sipendi ufisadi wa watawala lkn hii barua ni feki.
Kama ninyi kweli mambo kama haya ya mtu anapata kura 1 ndiye anatangazwa mshindi na aliepata kura 29 anaonekana hafai unadhani kwanini tunaamini hizo taarifa?huwa wanawaamini wanaowapa taarifa
Hata kama we cannot rule out ukweli wa hii taarifa kwa namna serikali hii haramu inavyojiendeshaHiyo barua nina uhakika ni fekelo. Umiliki wa ardhi unaweza ukawa chini ya serikali ikiwemo halmashauri ya kijiji, mtu binafsi, taasisi au kikundi cha watu. HAKUNA UMUILIKI WA ARDHI UNAORASIMISHWA KWA CHEO CHA MTU. Ukisema ni mmili ni Rais wa JMT, itakuwaje siku akistaafu urais?? Au ukisema umiliki ni wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbinga, itakuwa siku mkurugenzi husika akihamishwa au akistaafu??
Sipendi ufisadi wa watawala lkn hii barua ni feki.
Mpaka sasa kwa uzoefu wako ni faida zipi kama nchi imezipata kwa maeneo ambayo yamebadilishwa na kupewa wawekezaji? mostly ni wao kujenga mahotel au kupewa waarabu kwa ajili ya uwindani na kutorosha wanyama......mfano issue ya NgorongoroHIYO ARDHI INABADILISHWA UMILIKI KUWA CHINI YA RAIS NA SIO KUWA CHINI YA SAMIA,
ARDHI IKIWA CHINI YA RAIS, MAANA YAKE INAWEZA KUPEWA MUWEKEZAJI KWA FAIDA YA NCHI.
ANGEKUWA AMEJIMILIKISHA, ANGESEMA IWE CHINI YA SAMIA SULUHU HASSAN
kwani CCM kuiba kura ni jambo geni ? au wewe ni mgeni hapa duniani.Kama ninyi kweli mambo kama haya ya mtu anapata kura 1 ndiye anatangazwa mshindi na aliepata kura 29 anaonekana hafai unadhani kwanini tunaamini hizo taarifa?View attachment 3625020View attachment 3625021
HER EXCELLENCE ni nani wewe juha?Mleta mada na mbulula wenzako rudini shule msome sheria ya ardhi na vijiji ili mjue ardhi yote ya Tanzania ipo chini ya rais kama msimamizi mkuu. Umeona jina la Mama Samia kwenye hiyo barua? Acheni upuuzi.
Kama sio jambo geni unadhani haya mambo mengine kutakuwa na utofauti? si itakuwa business as usual?kwani CCM kuiba kura ni jambo geni ? au wewe ni mgeni hapa duniani.
hao jamaa wanaibiana kura hata kwenye chaguzi za ndani ya chama