Responded HOJA Namba moja ajimilikisha kijiji cha Ololosokwan, Ngorongoro

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu Ile kesi ya eneo la pololeti karibu na ololosokwani imeshakwisha?
 
Ndio maana wako tayari kufanya mauaji ili waendelee kutafuna nchi japo nao pia hawaijui kesho yao
 
Ila kusema ukweli mwanangu wafanyakazi KAZI kwenye kampuni zake zinalipa msharahara mzuri(Kwa kifupi hawana njaa) na hawana blaa blaa nyingi
Kwa kipengele hicho tu mama nimemtetea
Hana baya
 
LIBARUA HALINA MUHURI,MABARUA YA AINA HII CHADEMA HUWA WANAYACHAPISHAGA MENGI TU NA KUYAPOSTI HATA MAJUZI WALIPOSTI LA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU,KOSA BARUA ILE ILIKUWA NA NEMBO YA UHURU NA UMOJA!, YAANI TOO #FAKE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…