namba ya NIDA kutumika kusajili line nyingi bila muhusika kujua kinachoendelea.

Mkuu usiwe mjinga kiasi hicho kuna kipindi kwenye application ya usajili ya VODA ilikuwa imewekewa udhaifu uliowawezesha vijana wa kusajili kuhifadhi fingerprint yako hata kwa zaidi ya siku 7 sijui kama wamesishairekebisha kiufupi kampuni hasa vodacom wanaweka mazingira wezeshi kwa mafreelensa kufanya udanganyifu
Acha ujinga wewe kilaza. Hakuna namna ya kutunza fingerprint kwenye ule mfumo. Unatumia fingerprint ku-retrieve data kutoka NIDA kama one time request. Lazima kidole kiwe kwenye mashine kwa muda fulani mpaka data zije. Usipende kuongelea usiyoyajua.
 
Ukisajili mitaani hiyo ndiyo shida ?

Issue yoyote ya usajili we nenda kwenye ofisi zao kuu

Hivi unajua watu wananunua info za NIDA(matumizi ya mjinimjini)

Ova
mkuu mimi sijasajili jana line, nna,miaka kadhaa line yangu,, na nilisajili kwa vidole kipindi kile cha kufungiwa line ambako hizo ofis unazosema zilikuwa haziibgiliki zimejaaa unajikuta unasajilia pembeni nje ya ogisi zao,, na saa hii ukipita huwakuti walishasambaa.
 
Acha ujinga wewe kilaza. Hakuna namna ya kutunza fingerprint kwenye ule mfumo. Unatumia fingerprint ku-retrieve data kutoka NIDA kama one time request. Lazima kidole kiwe kwenye mashine kwa muda fulani mpaka data zije. Usipende kuongelea usiyoyajua.
mkuu unajiona mjanjaaa ila kuna mahala utashikwa,,, alichosema ni kweli,,, kipindi kile ukisajili ilikuwa inagomagoma ukibonyeza zile namba kuhakiki kama ushasajiliwa unakuta bado inakulazimu usajili tena hii kitu kama haikukuta basi ukae kimya na janjajanja yako.
 
Watanzania mnapenda sana kujifanya wajuaji. Mimi nilikuwa mwakilishi wa kampuni kwenye kamati ya tcra iliyotengeneza processes na kufanya auditing baada ya implementation kwa kila operator hivyo namfahamu ninachoongelea.

Namna pekee ya kusajili kwa biometric ni lazima kidole kikae kwenye mashine mpaka data zije kutoka nida.
 
Acha ujinga wewe kilaza. Hakuna namna ya kutunza fingerprint kwenye ule mfumo. Unatumia fingerprint ku-retrieve data kutoka NIDA kama one time request. Lazima kidole kiwe kwenye mashine kwa muda fulani mpaka data zije. Usipende kuongelea usiyoyajua.
Wewe mbwa nenda kawaulize hao madogo wanaosajili line kama kwenye application ya usajili ya voda haijawahi kuwa na namna ya kuhifadhi fingerprint za mteja

Ni hivi walichokuwa wakifanya ukienda kusajili line ya voda badala ya kwenda sehemu ya usajili anakwenda kwenye sehemu ya futa usajili anaingiza NIN yako harafu anakwambia uweke fingerprint ukishaweka anainakili namba yako ya NIN kisha anarudi huku kwenye usajili mpya anasajili bila hata wewe kuweka tena NIN yako baada ya hapo atahakikisha hicho kifaa chake cha kusajili hakiishiwi moto ili baadae tena asajilie line zingine haya ni maujanja ya siku nyingi sana na mafreelensa wengi walikosa mzuka wa hizi kazi baada ya hii Application kufanyiwa marekebisho
 
Wewe hauna akili. Lugha yako inaonesha utoto mtupu.

Watanzania mnapenda sana kujifanya wajuaji. Mimi nilikuwa mwakilishi wa kampuni kwenye kamati ya tcra iliyotengeneza processes na kufanya auditing baada ya implementation kwa kila operator hivyo namfahamu ninachoongelea.

Namna pekee ya kusajili kwa biometric ni lazima kidole kikae kwenye mashine mpaka data zije kutoka nida.
 
A

Acha uboya dogo nenda kazurure huko mitaani uwachukue madogo maelezo hiki ninachokuambia nimekijaribu mwenyewe sasa kama hutaki kuelewa baki na mavi yako nyumbani
 
asante shahidi maana nilishatunukiwa jina la UZOBA

Kuna watu wanajifanya wajuaji kumbe zero
Wengi fingerprint zao zimetumika kwa wengi hata yeye ukute ya kwake nilisajiwa mimi ila hajui anajifanya anajua

Wengi tulisikia mchezo huu na tukajua kwenye technologies bado tuko nyuma sana
Unaweza kusajili kwa jina moja ila Kadi mbili na ukapita nayo kila mahali

Kuna watu wanazo zaidi ya moja
Hapo serikali imefeli sana
 
HABARINI ZA WEEKEND WA NDUGU!

TCRA mnipe ufafanuzi inakuwaje namba ya NIDA nimeihangaikia kwa kupanga lifoleeeeni kubwa na kutumia ma finger print yangu hadi picha mkanipiga ili nipate kitambulisho kwaajili ya matumizi yangu binafsi. kwa jinsi mlivyotuelimisha zile finger print ni kama password ya mhusika hawezi kutumia mtu mwingine kitambulisho chako (kwa uelewa nilioupata),,,,.

swali inakuwaje NIDA yangu inatumika pasi na mimi kujua?

haya wakala (msajili line) alibaki na namba yangu ya NIDA kwa uhuni wake akasajilia watu bila kujua je! mlimuacept vipi wakati alipoweka dole lake asajili laini zile fingerprint haziendani na mwenye NIDA?

wahusika mje mnijibu haya maswali haiwezekani mtuchezee akili kusajili line nyingi kwa NIDA ya mtu bila kujua wakati kuna fingerprint.
la sivyo haya matamko yenu ya shuruti tutakuwa tunayapuuza ikiwemo sensa hamna maana yoyote ni danganya danganya na janja janja nyingi....

NB: mnaouliza nimejuaje bonyeza *106# kujua NIDA yako imetumikaje.
Sasa kama umejua si uzifute na option ipo humo kwenye hiyo menu nenda kwa wakala kafute
 
Lazima uende kwasababu ni kosa lako kuruhusu mtu asajili kwa fingerprint yako. Na kama huyo mwenye laini yenye taarifa zako kafanya uhalifu wowote basi ujue unaelekea gerezani.
wewe unikome kbs nimeruhusu🙄? usinitafutie ban mkuuu unajitia mjuaji sana kenge kbsa,, nna hasira na uhuni uliofanywa we unaniambia nimeruhusu usinitie majaribuni mxieeeeew.
 
Badala ya kuleta jeuri hapa, wahi kwa mtoa huduma ukazifunge hizo laini. Ila ujue sheria ni msumeno, kama zimehusika kwenye uhalifu wowote basi wewe ndio mhalifu mwenyewe.

Matusi hapa jukwaani hayatakusaidia chochote.
 
Kuna watu wanajifanya wajuaji kumbe zero
Wengi fingerprint zao zimetumika kwa wengi hata yeye ukute ya kwake nilisajiwa mimi ila hajui anajifanya anajua

Wengi tulisikia mchezo huu na tukajua kwenye technologies bado tuko nyuma sana
Unaweza kusajili kwa jina moja ila Kadi mbili na ukapita nayo kila mahali

Kuna watu wanazo zaidi ya moja
Hapo serikali imefeli sana
namsamehe bure. huenda najibishana na mtu aliekaribia kupoteza kumbukumbu.

hata majukwa Mengine namuona anajionaga mjuaji sana.
 
Back
Top Bottom