Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa!

Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
2005 baada ya kupata mshahara wangu wa kwanza nikiwa mwalimu pale kiponzelo secondary
 
Duh haya ndio malipo kwetu mbn kasheshe 🤣🤣🤣
 
Nina madeni mengi, hii nimeanza kuitumia mwezi wa pili , nafikiria nitafute nyingine tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…