Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Wana asili ya Jordan na Misri... ni kama walivyokuwa wale Wasamaria, Au Wakikuyu na Warombo, au Wahaya na Waganda...
Hivi mkuu Wasamaria wako wapi leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana asili ya Jordan na Misri... ni kama walivyokuwa wale Wasamaria, Au Wakikuyu na Warombo, au Wahaya na Waganda...
Mosi:Wapalestina ni Waarabu?
Pili:Wakati hao Wayahudi asilia walikua wanaishi hapo Wapalestina walikuwa wapi?
Wayahudi ni Wayuda...Nchi yao ipi? walikuwa hawana nchi. Kuna dini ina nchi yake?
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Uwepo wa nchi ya Israeli miaka 1000 B.C hauko kidini pekee bali hata kihistoria,hilo ni moja
Hoja iliyoko hapa ni nani mwenye haki ya kuishi kwenye eneo hilo baina ya Wapalestina na Wayahudi-hilo ni la pili
Nchi hiyo ilikuwa ni ya Wakanaan,je hawa watu wapo wapi leo?-Hilo la tatu
Kama unadai kuwa nchi hiyo haikuwa ni ya Wayahudi,unamaanisha hata Waingereza ambao leo wapo Marekani waondoke?
Kama ni hivyo,kuna watu walipigana vita zamani huko na wakachukua maeneo na leo yanahesabika yao kama vile Waarabu walioko Misri,unataka warudi walipokuwa wanaishi mababu zao?
Kama hao hawapaswi kurudi,kwanini unaleta hoja ya Wakanaani ambao ndio walikuwa wanaishi hapo ukitarajia warejeshwe huko?
Wote Wayahudi asilia na Wapalestina/Waarabu pale Jangwani (Palestina/Israeli) ni kwao asilia!
Nchi yao ipi? walikuwa hawana nchi. Kuna dini ina nchi yake?
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Ni wapi nilipotaja nchi ya Wayahudi/Wapalestina? Kama ukinisoma vizuri utaona nimetumia neno Mashariki ya Kati nikimaanisha eneo asilia la hawa watu!Tatizo lako kubwa ni elimu. Pale ni chimbuko la dini kubwa tatu, Uislam, Uyahudi, Ukristo. Wayahudi hawana nchi, Wayahudi ni dini. ukisema Wayahudi wana nchi, Wakristo jee, nchi yao ni ipi? Waislam jee, nchi yao ni ipi?
Hao Wapalestina unaesema wapo Wayahudi, Waislam na Wakeisto. Soma kijana.
Ni historia ipi inayokana uwepo wa taifa la Israeli miaka 1000 B.C?historia ipi unayozungumzia? ni nani ameandika hiyo historia? una uhakika historia hiyohiyo na waarabu wanaisoma na kuiamini?? una uhakika historia hiyohiyo wajapani na wachina wanaisoma na kuiamini?? kama unaamini sana biblia kama kitabu chako cha historia, basi kataa kuanzia leo binadamu hajatokea from evolution kwa nyani!
Bado unaendeleza ngano zile zile,nimekuambia kuwa nchi ya Israeli inakubalika kihistoria na sio kidini pekeeni sawa hata hapa tanzania inawezekana miaka 1000bc walikuwa wanaishi watu wengine, ni kweli sio sawa waje watu kutoka sijui wapi huko ulaya na vitabu vyao vya dini wanavyoamini wao waje waseme, eti hii ni ardhi ya tz ni yao hivyo wa-tz wote hameni! patachmika hakyamungu!!!
Hii inawezekana ni hoja ya msingi lakini kukana kuwa hawakuwepo ni ujinga zaidi ....!!sasa iweje unaona ni sawa wayahudi baada ya kuish uhamishoni miaka zaidi ya 1000(elfu moja) waje na kuwahamisha wapalestina, wakuwachinjilia mbali watoto na wamama na kila mtu na kuwafukuza na kusema ni ardhi yao na kuanzisha taifa lao la "zamani" ?? double standard??
Hivi mkuu Wasamaria wako wapi leo?
Wayahudi ni Wayuda...
Wayahudi ni Wayuda...
Inawezekana walisambaratishwa na wenyewe, Kwasababu kipindi cha agano jipya Israel ilikuwa imegawanywa katika maeneo makubwa matatu Yaani Uyahudi sehemu ya kusini, Samaria nchi ya katikati na Galilaya sehemu ya kaskazini chini ya utawala wa Warumi, Uyahudi na Samaria mara nyingi ziliunganishwa kiutawala, Makao makuu ya utawala yalikuwa Kaisaria
Mji uliojengwa pwani ya Bahari ya kati na Herode Mkuu
Matendo ya Mitume 1:8 Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.
Matendo ya Mitume 23:33 Na wale walipofika Kaisaria, na kumpa liwali ile barua, wakamweka Paulo mbele yake.
Halafu hapo hapo anawaambia watu hawana elimu, Hao Wayahudi ni watu waliotokana na Yuda, halafu pia wakawa na dini yao... na pia walikuwa na nchi yao...Huyu mwanamke kinamchanganya kitu kidogo sana na hilo linaonesha vile akili yake ni ya ajabu sana
Yaani dini,taifa na watu kubeba jina moja kunamchanganya na kumvburuga kabisa ...
Yaani kwake haiwezekani nchi na dini vikawa na jina moja ....
Yaani mfano leo ncho mojawapo ibadilishwe na iitwe Islam halafu nchi hiyo ikatoweka kwasababu zozote zile halafu akazaliwa binadamu mwenye akili ya kijinga kama ya huyu Faiza miaka kama 1000 hivi ijayo atakataa kuwa hakukuwahi kuwepo na nchi inayoitwa Islam kwasababu tu Islam ni jina la dini
Hovyo kabisa huyu mtu!
Wewe ni mpuuzi na ngoja nikuambie kwanini nakuita hivyo....
Kwanza nilikuuliza swali ambalo kwa makusudi umeliacha kulijibu kwasababu zako binafsi,nilikuuliza kwamba Wayahudi waliokuwa wanasemwa kwenye Biblia na Quran walikuwa wanaishi wapi?
Kama unataka kuniambia kuwa hiyo ni dini,unataka kuniambia kuwa kwenye Biblia na kwenye Quran walipokuwa wanatajwa Wayahudi walikuwa wanataja dini?
Lakini pia,unaendelea kuwa mpuuzi kwasababu unajua kabisa Yahudi inatokana na jina Yuda na hawa watu waliwahi kuwa na nchi yao iliyoitwa Judea miaka kama 800 B.C
Kingdom of Judah - Wikipedia, the free encyclopedia
Sasa wewe sijui huelewi au una nini kichwani mwako hadi unajidai kukana hapa,kama unataka ueleweke nambie kwanza wale Waisrael [Wayahudi wakiwemo] wanaotajwa kwenye Quran ni watu wa wapi na waliishi wapi!
Simba wa Yuda alikuwa Ethiopia.
Wewe ni mpuuzi na ngoja nikuambie kwanini nakuita hivyo....
Kwanza nilikuuliza swali ambalo kwa makusudi umeliacha kulijibu kwasababu zako binafsi,nilikuuliza kwamba Wayahudi waliokuwa wanasemwa kwenye Biblia na Quran walikuwa wanaishi wapi?
Kama unataka kuniambia kuwa hiyo ni dini,unataka kuniambia kuwa kwenye Biblia na kwenye Quran walipokuwa wanatajwa Wayahudi walikuwa wanataja dini?
Lakini pia,unaendelea kuwa mpuuzi kwasababu unajua kabisa Yahudi inatokana na jina Yuda na hawa watu waliwahi kuwa na nchi yao iliyoitwa Judea miaka kama 800 B.C
Kingdom of Judah - Wikipedia, the free encyclopedia
Sasa wewe sijui huelewi au una nini kichwani mwako hadi unajidai kukana hapa,kama unataka ueleweke nambie kwanza wale Waisrael [Wayahudi wakiwemo] wanaotajwa kwenye Quran ni watu wa wapi na waliishi wapi!
Mkuu haya mambo yananipa mawazo sana .....
Unajua kuwajua Wasamaria ni kuwajua Waisraeli wa yale makabila 10 ambayo leo tunaambiwa hayajulikani ni akina nani,sasa wameamua kutokutambua walipo hawa watu ili kuficha ukweli wa Waisraeli hao ...
Mkuu hii ni njama hatari sana
Kwanini Wayahudi wawepo hadi leo lakini hao wasiwepo?
Unatumia Application ya JF!? maana ukitumia mobile browser haiwezi kuleta signature kama ilivyofanya hiyo ya kwako, vinginevyo labda ukiwa kwenye computer...Punguza ghadhab, hilo swali lako sijaliona, ntalipitia na ntakujibu, si unajuwa hapa ni Bahari Kubwa!
Ntarudi, sipo kwenye laptop, nipo kwenye simu, usiwe na kiherehere.
Kwanza kwa maana hii ni kwamba kukana kuwa hakukuwahi kuwepo kwa nchi inayoitwa Israeli ni upuuzii
Pili kukana kuwa hakukuwahi kuwepo na nchi inayoiwa Judea [Yahudi] ni upuuzii mwingine
Lakini pamoja na haya,kwa context ya huyu alieandika haya,wote kwa maana ya Wapalestina na Wayahudi ni wakaazi halali wa eneo hilo,sio?
mkuu wewe husomi na siku hizi google imekurahisishia , soma sana uatelewa huu mkanganyiko uliopo, is judaism a religion or a race? ni maswali mengi na ubishi mwingi umetokea kwa hili swali.
-wengine wkiclaim na imetokea sana, wewe mmakonde ukibadili dini leo na kufuata judaism unakuwa myahudi, na wayahudi wengi waliopo leo ni wayahudi waliokuwa wayahudi by convertion to judaism . wayahudi wengi wliopo leo ni ashkenaz jews, waliupataje uyahudi? ni mfalme wao alipoamua nchi nzima ifuate dini ya judaism. go read ashknazi jews and khazaria empire.
-wayahudi wale wa kutoka kizazi cha yacob ni wachache sana waliopo leo.