Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Sihitaji kukagua simu yake ndo nijue anacheatMi ni konda wa bajaj na nina siri nyingi za wake zenu na kama ningekuwa najua kuandika hapa nina uwakika kungechafuka .
Swala la kushika simu ya mwenza ni kama kumlinda kimtindo na sio swala la kupevuka na kama unaona hivyo sawa maana kwenye hizi bajaji tunabeba siri nyingi sana.
Sawa.Sihitaji kukagua simu yake ndo nijue anacheat
Kwa mtu mmoja100,000/= tu
Kama waogopa kubambikiwa, agiza DNA kit toka US. Nafikiri itabidi uwe na US address unapo register hiyo kit online kwani huwa hawatoi huduma kwa baadhi ya nchi kutokana na masuala ya kusheria.ila inasadikia kibongo bongo hupewi majibu ya kweli hata kama mtoto si wako kwa hofu ya kutengeneza malezi duni kwa mtoto.
Hakuna suala la kumpa muda kwani mtoto anapokua ana develop attachment kwa baba feki na itamuumiza sana siku ukimtenga kwa kuwa si mtoto wako. Heri ujue sasa hivi kuliko baadaye.Kwa upande wangu mimi huwa nina ogopa sana simu ya mke wangu
Mara ya mwisho kushika simu yake na kukagua ni miaka 7 iliyo pita na leo tuna miaka 10 japo atujafunga ndoa ila tuna watt 2
Ushauri wa bure mpe muda na ww jipe muda wa kufanya utafiti lakin pia mtoto anavyozidi kukua kuna vitu tu utaviona ata km niwa kike kuna feature zako baadhi atakua nazo
🔨Kama unataka amani na mpenzi wako achana na simu yake...
doh....achana na hiyo simuNisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi
Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.
Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa amebadili pasiwed na hataki hata niisogelee. Hata nikiisogelea huwa haruhusu niitumie bila yeye kuangalia ninachofanya.
Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?
Japo mtoto amesajiliwa jina langu la ubini kabisa la kikurya ila nina mashaka hasa kwa hii tabia mpya.
Mwaminifu huyu?
Huyo mtoto siyo wako, ndiyo maana anahofu cha kufanya ni kwenda kumpima vina saba ili uwe na amani.Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi
Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.
Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa amebadili pasiwed na hataki hata niisogelee. Hata nikiisogelea huwa haruhusu niitumie bila yeye kuangalia ninachofanya.
Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?
Japo mtoto amesajiliwa jina langu la ubini kabisa la kikurya ila nina mashaka hasa kwa hii tabia mpya.
Mwaminifu huyu?
Shukrani kwa taarifa bossHaiwezekani labda ufanyiwe connection na mtu.
Hakuna DNA inayokataaga mtotoTafuta hela kampime mtoto DNA
Huko Duniani koteWapi wanaume wanakufa mapema ?
Aachane na simu yake vp wakati anataka kuujua ukweli binafsi huwezi kuniambia niachane na simu ya mke wangu hakuna Amani km unaugulia kimyakimya Amani ya kweli ni kujua changamoto zako na namna ya kukabiliana nazo ili uwe huruKama unataka amani na mpenzi wako achana na simu yake...
Sasa unaoa ya nini kama unaogopa ukimwi...sii ubaki single tuuAkija ambukizwa ukimwi je?
Demu kashagegedwa huyo wee usijali mualike mwanaume mwenzio mpige thriiisamuuuu matataNisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi
Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.
Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa amebadili pasiwed na hataki hata niisogelee. Hata nikiisogelea huwa haruhusu niitumie bila yeye kuangalia ninachofanya.
Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?
Japo mtoto amesajiliwa jina langu la ubini kabisa la kikurya ila nina mashaka hasa kwa hii tabia mpya.
Mwaminifu huyu?
Bro siwezi baki single na vodka ipoSasa unaoa ya nini kama unaogopa ukimwi...sii ubaki single tuu
Basi itombeeee vodkaBro siwezi baki single na vodka ipo
Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi