Namhisi vibaya mpenzi wangu. Je, ni hisia tuu au ni kweli?

Unatombewa shtuka we boya
 
eti kutofanana nawewe sio ishu kwakua ni wa kike,ungejua watoto wakike ndo hufanana na baba zao zaidi wooooiiii,,nna ka binti kopi ya baba ake hapaaa☹️☹️
 
UKIONA MWANAMKE ANA USIRI MKUBWA NA SIMU YAKE, LICHA YA UKWELI KWAMBA UNAISHI NAYE AMA KWA KUMUOA, AU NJOO TUISHI.

UJUE ANA ANATOMBWAA NJE , ANALIWA, ANAPIGWA MASHINE, ANAPELEKEWA MOTOO .


HUYO MTOTO SIO WAKO

FALAAA WEWE
πŸ˜…πŸ˜…ila ww jamaa had utukane
 
Jaribu ku hack simu yake
Au tafuta app ambayo itakuwa kwenye simu2 uinstall kisiri
Ili ujue messages zake😎😎😎
 
Kadi sio ishu. Mtoto anaweza akawa na kadi hata 3 zenye majina tofauti na akwa anaenda clinic tofauti
Bado mgeni wa jiji huyu jamaa, anafikiri kadi ndo guarantee ya yeye kua ndo baba mzazi OG, hawa viumbe wanaweza kaa hata na kadi 7 za mtoto kwa ajili ya kuchunia pesa..... Akae kwa kutulia kabisa dose iingie
 
Hivyo ndo huwa wanakuwa wakishapata wawapendao.
Kwa vile hukumkuta bikra juwa ulichukua mke wa mtu sasa wamerudiana.
 
Oya simu ya demu wako sawa na bomu lililo fyatuliwa pin lina lipuka sekunde za kuhesabu acha kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…