Nampongeza Heche , kasimamia msimamo wake na wa chama.
Juzi kwa kutosimama kutoka kitini wakati Esther anaingia ni moja ya njia za kufikisha ujumbe kuwa hata chuma ikipakwa rangi ya dhahabu , hatuwezi kuikubali bali kuna namna za kisayansi kujua dhahabu halisi na dhahabu feki na ni suala la muda tu hilo litajulikana.