Namlisha mawazo Mwigulu; "Huyu John Heche anajiamini nini huyu"

Nampongeza Heche , kasimamia msimamo wake na wa chama.

Juzi kwa kutosimama kutoka kitini wakati Esther anaingia ni moja ya njia za kufikisha ujumbe kuwa hata chuma ikipakwa rangi ya dhahabu , hatuwezi kuikubali bali kuna namna za kisayansi kujua dhahabu halisi na dhahabu feki na ni suala la muda tu hilo litajulikana.
 
Hiki ndo kitu inabidi viongozi wote wa chama wakifanye, hapo inabidi waongeze kuhubiri chuki chuki chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…