Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Mimi ndo docta wa vichaa milembe... .na kiboko ya wanafunzi Kama ninyi nawatega kwa chipsi kukuAcha kumsakizia matatizo mwenzio unafikiri ye anapenda?
Huu ni mpapai, kwa mbao sifai kwa kuni sifai
Sasa wewe unaalika watoto wa shule kwanini wasikukimbie...?Nani atayekubali kupangwa mechi na mimi vijiweni ikiwa tu humu JF nakimbiwa?
Jeuri imekurejea?Mimi ndo docta wa vichaa milembe... .na kiboko ya wanafunzi Kama ninyi nawatega kwa chipsi kuku
Mimi kupambana na uyo Tula ni sawa na kugonganisha yai na jiweWatu wengi wenye maneno kama wewe huwa hamna shughuli I wonder kama utakua unajua kwa kiasi hicho nasubiria pambano lako hapa na juma mpemba huku mimi nikiendelea kujifua
Hiyo jeuri unaipatia wapi ndugu yangu?Sasa wewe unaalika watoto wa shule kwanini wasikukimbie...?
Njoo Sasa ivi nikukate mdomoJeuri imekurejea?
Nyie watoto kwenye mabewe sio wakuwapa nafasi, mkishinda kidogo mnaanza kututangaza mtaani "afunga akaka, afunga akaka"
Mwambieni apande kitandanijuma mpemba vs dronedrake mpambano wenu bado?
Mwambieni apande kitandani
Draft halichezwi siku moja, au ukishinda leo kesho utashinda piaMimi ndo docta wa vichaa milembe... .na kiboko ya wanafunzi Kama ninyi nawatega kwa chipsi kuku
Hivi duniani tupo ili tufanye nini ?Huna kaz eeh
Watu sijui ndo tuseme mko serious sana na maisha au mchezo wa draft unadharaulika
Ronaldo isingekuwa korona angekuwa south kuipeperusha bendera ya TZ
Dooh yaan kuna watu ukifatilia maneno yao utaona wanajua draft sanaaa kumbe dooh hamna kitu[emoji23] hasa wee Juma Mpemba zero kabisaaMimi ndo docta wa vichaa milembe... .na kiboko ya wanafunzi Kama ninyi nawatega kwa chipsi kuku
siku hizi jumampemba kabadili id yake kwenye Ok draftDooh yaan kuna watu ukifatilia maneno yao utaona wanajua draft sanaaa kumbe dooh hamna kitu[emoji23] hasa wee Juma Mpemba zero kabisaa
Hizo simu zilitengenezwa kwa ajiri ya matajiri na hata bei yake inauzwa kiutajiri. Ila ngoja tuulizie kwa wengine kama inawezekanahivi hamna Draft hili kwenye Iphone anaejua anisaidie nahitaji draft lenye Sheria za Tz kama hili maana nilikua naenjoy kwa Android tangu nihamie gerezani giza tu
Ukipata jibu uni tag MkuuHizo simu zilitengenezwa kwa ajiri ya matajiri na hata bei yake inauzwa kiutajiri. Ila ngoja tuulizie kwa wengine kama inawezekana
Naombeni mbinu jamani kijiweni wananitesa na vijembe vyaoKwenye mabewe mimi natisha mzee, ingekua mpira tayari nna maisha yangu ila kwasabu ni goda basi naambulia sifa tu