Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
- Thread starter
- #81
Umerudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubali kufungwa pale unapofungikaNaombeni mbinu jamani kijiweni wananitesa na vijembe vyao
Weng wanaojuwa draft hawapend kufundisha wengine wajui sijui kwa nnDalmax 100% inanipeleka puta natoa sare tu nipeni mbinu za ushindi.
#MaendeleoHayanaChama
Kucheza na dalmax [emoji817] ukifanya kosa kidog tu bas ushaaribu shughul ila kuna watu wanamfunga kama mtotoHapo unacheza na robot/computer ni ngumu sana kumfunga..labda iweke asilimia za chini kuanzia 60 kushuka chini.
Hapo unacheza na robot/computer ni ngumu sana kumfunga..labda iweke asilimia za chini kuanzia 60 kushuka chini.
Kuna masela humu humu Jamii forum walikuwa wanamfunga dalmax chini ya dakika moja tena sana tu ila binafsi sijawahi ambulia hata draw.Kucheza na dalmax [emoji817] ukifanya kosa kidog tu bas ushaaribu shughul ila kuna watu wanamfunga kama mtoto
ieleze inavyotumika inachanganyaachana na ujinga ujinga huo, ingia playok.com/en/tzdraughts ukutane na nguli kina sisi ( multi player online) uchezee kichapo