mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Chindo alikuwa anaishi mbele sijui kama karudi bongoYupo wapi chindo na JCB?
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chindo alikuwa anaishi mbele sijui kama karudi bongoYupo wapi chindo na JCB?
Album yao ya mwaka 1999/2000Ngoma kama funga kazi, pata potea, tupo nyuma kimaendeleo, mamsapu, chemsha bongo unajua zilitoka mwaka gani?
Prof J alijiunga HBC, hakua miongoni mwa waanzilishi. HBC imekuwepo toka enzi za Diplomatz na wengine. Mwaka 1999 kuelekea 2000 (mwaka waliotoa album yao ya Funga Kazi) ndipo HBC na Prof J walipoteka nyoyo za Mashabiki kwa track ya Chemsha Bongo ambapo ilifungua rasmi ukurasa wa Rap na Bongo fleva Tanzania.Unaweza kutoa uthibitisho?
Prof J alikuwa akisoma Lutengano, Tukuyu wilayani Rungwe, kuna sehemu yoyote tunaweza kufanya exactly tracing ya kuanzishwa kwa HBC?
Kuna mchizi anajiita rip faza_nelly humuLife is not fair.RIP mwamba
Miaka hio walikua na website? basi walikua ahead of timeProf J alijiunga HBC, hakua miongoni mwa waanzilishi. HBC imekuwepo toka enzi za Diplomatz na wengine. Mwaka 1999 kuelekea 2000 (mwaka waliotoa album yao ya Funga Kazi) ndipo HBC na Prof J walipoteka nyoyo za Mashabiki kwa track ya Chemsha Bongo ambapo ilifungua rasmi ukurasa wa Rap na Bongo fleva Tanzania.
Ukisoma articles, X Plastaz inaonekana ilianzishwa mwaka 1996 ingawa wengi waliifahamu miaka ya 2002/2004 kupitia ngoma zao kama AHA, Ushanta, Bamiza nk. Jamaa walikuwa na website iliyonyooka sana, walikua advanced.
Katika mwanza mwanza fid q anasema alianza rap kabla sugu hajatoa album, sasa jiulize sugu album ya kwanza katoa lini na fid tumemsikia lini?Prof J alijiunga HBC, hakua miongoni mwa waanzilishi. HBC imekuwepo toka enzi za Diplomatz na wengine. Mwaka 1999 kuelekea 2000 (mwaka waliotoa album yao ya Funga Kazi) ndipo HBC na Prof J walipoteka nyoyo za Mashabiki kwa track ya Chemsha Bongo ambapo ilifungua rasmi ukurasa wa Rap na Bongo fleva Tanzania.
Ukisoma articles, X Plastaz inaonekana ilianzishwa mwaka 1996 ingawa wengi waliifahamu miaka ya 2002/2004 kupitia ngoma zao kama AHA, Ushanta, Bamiza nk. Jamaa walikuwa na website iliyonyooka sana, walikua advanced.
Kwa jina la Yesu kila goti lipigweProf J alijiunga HBC, hakua miongoni mwa waanzilishi. HBC imekuwepo toka enzi za Diplomatz na wengine. Mwaka 1999 kuelekea 2000 (mwaka waliotoa album yao ya Funga Kazi) ndipo HBC na Prof J walipoteka nyoyo za Mashabiki kwa track ya Chemsha Bongo ambapo ilifungua rasmi ukurasa wa Rap na Bongo fleva Tanzania.