Ameharibu ila sio yeto lakini pia iron dome missile defense system zinaweza intercept missile kwa ratio ya90% on average meaning kati ya makombora 100 basi 10 yatikia lengo ndani ya Israel ultimately iran will be defeated. Punguzeni ushabikiJana nyinyi simlituambia kuwa Israel kaharibu mifumo yote ya ulinzi ya Iran na imeharibu mitambo yote ya kurushia makombora?
Sasa haya makombora yaliyo ipiga Israel jana yalifyatuliwa kwa kutumia nini?
Na ndege za Israel zilizo tunguliwa zimetunguliwa na mifumo gani?
Nani anadhulumiwa kwenye hiyo vitaTanzania ni nchi ambayo ina ubaguzi mkubwa na wa hatari kuliko hata wa Afrika kusini, ubaguzi huu una madhara hata katika kuungana kupigania haki za msingi kama taifa. Ona watu wanavoshabikia Vita ya Israel na majirani zake, amani tunayoihubiri ni unafiki. Kama unashabikia dhulma ya mtu mwingine, utachukia visit dhulma ya upande wako. Wakati huohuo unaomba watu wakuunge mkono kupambana na unachokiona wewe ni dhulma kwa upande wako, duu walimwengu ni shida Sana. Mimi sielewi kwanini watu wanapasa kuuwana!
AI inarahisha kazi na kuokoa muda vipi ukweli wa tarifa?Sijui kwanini mimi huwezi kutambua ARTICLE zilizoandikwa Ai...hii article katumia chatgpt kuandika akatae hapa
Na hilo ni shambulio moja tu, subiri tusogee kidogo kama mwezi uone kama kobaz hawataomba cease fireTubet nani ataumia zaidi kati ya Israel na Iran
By the way hadi sasa Israeli amemwumiza Iran pakubwa zaidi ya Iran alivyomudu kumwumiza Israel
Israeli anapigana kimkakati sana Iran anapigana kwa kupanic na atapigwa kisawasawa
Ndege ipi imetunguliwa?! Any evidence?!Jana nyinyi simlituambia kuwa Israel kaharibu mifumo yote ya ulinzi ya Iran na imeharibu mitambo yote ya kurushia makombora?
Sasa haya makombora yaliyo ipiga Israel jana yalifyatuliwa kwa kutumia nini?
Na ndege za Israel zilizo tunguliwa zimetunguliwa na mifumo gani?
😁😁😁😆 Hao ndio Iran bwana , licha ya vikwazo lukuki walivyowekewa lakini bado Wana jeuri ya kukichafua na kumng'ota mtoto pendwa wa usa (Israel) Iran ni konyo hapana chezea na watoto jamaa Wana guts za ajabu sana 😁 🙌🙌
Acha uongo wewe.Ameharibu ila sio yeto lakini pia iron dome missile defense system zinaweza intercept missile kwa ratio ya90% on average meaning kati ya makombora 100 basi 10 yatikia lengo ndani ya Israel ultimately iran will be defeated. Punguzeni ushabiki
Muende mkajenge miji ya Tel Aviv na Haifa maana imegeuzwa vifusi.Na hilo ni shambulio moja tu, subiri tusogee kidogo kama mwezi uone kama kobaz hawataomba cease fire
Kifusi?! Makombola yenu ya plastiki yameishia kuezua mapaa tu yameshindwa hata kudondosha ukuta walau mmojaMuende mkajenge miji ya Tel Aviv na Haifa maana imegeuzwa vifusi.
Naona hayo ni mapaa yameezuliwa.Kifusi?! Makombola yenu ya plastiki yameishia kuezua mapaa tu yameshindwa hata kudondosha ukuta walau mmoja
Iran ina mifumo ya kurushia makombora ambayo haihamishiki ( ndio ilio shambuliwa ) na mifumo inayo hamishika ni ngum kuimaliza yote hizbolla wana mifumo ya kurushia makombora hadi nyumbani mwa wenyeviti wa vitongoji ndio maana israel hawakuimaliza yote. Anyway mara ya mwisho hizbullah kurusha makombora ya mpata mpatae ( mfululizo) ilikua lin kama unakumbuka?ISrael kawa fooled kwa intelejensia wakahisi wamepiga Air defense za Iran , baada ya muda ngoma zikawa active hadi kutungua stealth F-35 inayopigiwa chapuo humu na wazayuni weusi miaka nenda rudi.
2006 Hezbollah iliwa fool Israel kudhani wanafahamu sites za missiles zao, Mossad wakaona wame win, wakashambulia hayo maeneo, baadae wakashangazwa kuna missiles hawajawahi kuziona zinarushwa na hezbollah..
Hezbollah wenyewe hizo mbinu alikuwa anafundishwa na Iran, sasa you can imagine Iran ina uwezo kiasi gani kucheza na akili za mossad...
Kinachotokea hapa ni kwamba Israel inakuwa surprised, na hii sio nzuri kwa Israel..
Sawa makombora yameshuka na kuua raia hakuna hata mgambo wa Israel 🇮🇱 aliekufu tayari majenerali wa4 wa iran wamelambishwa udongoAcha uongo wewe.
Tumeona wote makombora yakishuka kwa wingi zaidi ya hayo kumi unayosemea.
Israel imechakazwa vilivyo hadi wenyewe wamekiri na kusema Iran imevuka mstari mwekundu.
Hilo sisi hatuangalii.Sawa makombora yameshuka na kuua raia hakuna hata mgambo wa Israel 🇮🇱 aliekufu tayari majenerali wa4 wa iran wamelambishwa udongo