Namna Israel ilivolemaza Iran kwa muda mfupi

Ameharibu ila sio yeto lakini pia iron dome missile defense system zinaweza intercept missile kwa ratio ya90% on average meaning kati ya makombora 100 basi 10 yatikia lengo ndani ya Israel ultimately iran will be defeated. Punguzeni ushabiki
 
Nani anadhulumiwa kwenye hiyo vita
 
Tubet nani ataumia zaidi kati ya Israel na Iran
By the way hadi sasa Israeli amemwumiza Iran pakubwa zaidi ya Iran alivyomudu kumwumiza Israel

Israeli anapigana kimkakati sana Iran anapigana kwa kupanic na atapigwa kisawasawa
Na hilo ni shambulio moja tu, subiri tusogee kidogo kama mwezi uone kama kobaz hawataomba cease fire
 
Ndege ipi imetunguliwa?! Any evidence?!
 
Ameharibu ila sio yeto lakini pia iron dome missile defense system zinaweza intercept missile kwa ratio ya90% on average meaning kati ya makombora 100 basi 10 yatikia lengo ndani ya Israel ultimately iran will be defeated. Punguzeni ushabiki
Acha uongo wewe.
Tumeona wote makombora yakishuka kwa wingi zaidi ya hayo kumi unayosemea.
Israel imechakazwa vilivyo hadi wenyewe wamekiri na kusema Iran imevuka mstari mwekundu.
 
Iran ina mifumo ya kurushia makombora ambayo haihamishiki ( ndio ilio shambuliwa ) na mifumo inayo hamishika ni ngum kuimaliza yote hizbolla wana mifumo ya kurushia makombora hadi nyumbani mwa wenyeviti wa vitongoji ndio maana israel hawakuimaliza yote. Anyway mara ya mwisho hizbullah kurusha makombora ya mpata mpatae ( mfululizo) ilikua lin kama unakumbuka?
 
Acha uongo wewe.
Tumeona wote makombora yakishuka kwa wingi zaidi ya hayo kumi unayosemea.
Israel imechakazwa vilivyo hadi wenyewe wamekiri na kusema Iran imevuka mstari mwekundu.
Sawa makombora yameshuka na kuua raia hakuna hata mgambo wa Israel 🇮🇱 aliekufu tayari majenerali wa4 wa iran wamelambishwa udongo
 
Sawa makombora yameshuka na kuua raia hakuna hata mgambo wa Israel 🇮🇱 aliekufu tayari majenerali wa4 wa iran wamelambishwa udongo
Hilo sisi hatuangalii.
Sie tunatizama namna gani tunaigeuza Israel kuwa Gaza.
 
Ila Iran cha mtema kuni amekipata!
Bora sasa atangaze rasmi kuwa hana uhasama tena na Israel.
 
Iran umejua kunieshimisha kwa kweli mpaka muda huu sina deni na wewe. Hii ndo ubaya ubwela 🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 4_5945082950755292841.mp4
    613.8 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…