Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

Jenga hoja ya kisheria acha kukopi kwenye chatgpt
 
Hizo risasi za moto zingeelekezwa kwa mafisadi na Majizi yaliyoko huko ccm wanaotekeza nchi kwa mikataba ya wizi na ufisadi
 
Nyinyi mtachoweza kumrudisha labda "Mangi Kimambo" wa Tandale kwa Tumbo ila Mange Kimambi wa downtown Los Angeles mtasubiri sana.
 
Hizi kauli zimewafanya baadhi washindwe kujaribu maisha wakiwa home kwa kuogopa kuchekwa na kufa masikini..ukiona mtu anaongea kama wewe hapa Jua hauna hata chembe ya exposure..
Hilo zuzu la ccm litoe wapi exposure?! Linachojua ni kujipendekeza kwa wakubwa ili mkono uende kinywani
 
Jenga hoja ya kisheria acha kukopi kwenye chatgpt
Mimi nime Google ili wewe uliyeleta concept uihuishe na hiyo definition, mbona unakuwa mkali?
 
Andika na namna mama samia anaweza pelekwa ICC kwa mauaji ya kimbari ya tarehe 29
 
Hilo zuzu la ccm litoe wapi exposure?! Linachojua ni kujipendekeza kwa wakubwa ili mkono uende kinywani
Exposure yangu ni international kwankuwa nimefika mabara yote kasoro America, Eastern Europe na Australia & Newzeland.

Kisomo changu ni MBA, na kazi yangu ya mwisho kufanya ni CEO wa public parastatal
 
Andika na namna mama samia anaweza pelekwa ICC kwa mauaji ya kimbari ya tarehe 29
Samia atachunguzwa na ICC kwa kuwa kuna madai yamepelekwa na wanaharakati.

Ila uchunguzi utabaini mambo mawili makuu:-
1.Hakuna kundi maalum lililengwa kwenye mashambulizi au kwa sababu ya kiitikadi, kikabila au kidini

2.Wanaoitwa "waandamanaji" walianza kwa kufanya riots za kuchoma miundombinu ya umma, mali za watu binafsi kama vituo vya petroli, na kuiba kwenye maduka ya watu. Waliua na baadhi ya Polisi waliokuwa kwenye udhibiti wa vurugu

HIVYO BASI, kwa kuwa wimbi la uharibifu na maangamizi ilikuwa kubwa hamna namna tears gas au maji ya washawasha yangetuliza zile riots. Matumizi ya risasi kwenye miji korofi kama Dar, Mbeya, Tarime, Arusha na Mwanza yalikuwa SAHIHI na ndiyo yalileta huu utulivu tulio nao.

SAMIA atapeta hiyo ICC mnayoiogopa
 
Mimi nime Google ili wewe uliyeleta concept uihuishe na hiyo definition, mbona unakuwa mkali?
-Mimi najua vyote, international laws yote as well as criminal laws,
-Hiyo principle ya RECIPROCITY nimeijuaje sasa?
- eleza kwa akili yako sio kuleta articles ambazo tayari nazijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…