Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Hii hapa. Mm natumia pressure coocker kupikia vyakula vigumu. Nyama, maharage, wali, makande, samaki na vingine vingi kwa haraka kabisa. Nikihamishwa kazi kitu cha kwanza kuweka huwa ni presha coocker nguo ndo zinafata.Kaomba picha na sio bei...
Karibuni mjini wanangu.dah mkuu mimi sijawahi kuiona.
Inapiga mzigo kama kawaida.Yako haijawahi kuharibika kwa matumizi hayo?
hahaha mkuu kwani wewe hiyo ya gas umeiona?Karibuni mjini wanangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me cha kwanza huwa ni jagi...okey,presha cooker kwangu changamoto huwa ni zile kelele zake..haina siri 😬Hii hapa. Mm natumia pressure coocker kupikia vyakula vigumu. Nyama, maharage, wali, makande, samaki na vingine vingi kwa haraka kabisa. Nikihamishwa kazi kitu cha kwanza kuweka huwa ni presha coocker nguo ndo zinafata.View attachment 1460566
Watu mnamiss use matumiz ya rice coocker. Nimenunua rice coocker tangu mwaka 2013 nipo first year mpaka leo ninayo maana naitumia vizuri kama mchina alivyoiitengeneza.Yako haijawahi kuharibika kwa matumizi hayo?
Hii inatumia nishati ganiHii hapa. Mm natumia pressure coocker kupikia vyakula vigumu. Nyama, maharage, wali, makande, samaki na vingine vingi kwa haraka kabisa. Nikihamishwa kazi kitu cha kwanza kuweka huwa ni presha coocker nguo ndo zinafata.View attachment 1460566
Asa siri gani kwenye kupika mkuu unapika gongo ndo ujifiche auMe cha kwanza huwa ni jagi...okey,presha cooker kwangu changamoto huwa ni zile kelele zake..haina siri [emoji51]
Gas... LPG gas.
hahaha...Mkuu hiyo rice cooker umekua nayo,umetisha....bana wee tunajaribu kupunguza kuwa na makorokoro mengi ndani....umesahau,rim zimekuwa majiko ya mkaa pia 😀Watu mnamiss use matumiz ya rice coocker. Nimenunua rice coocker tangu mwaka 2013 nipo first year mpaka leo ninayo maana naitumia vizuri kama mchina alivyoiitengeneza.
Tatizo wabongo kwenye kubadilia matumizi mpo vizuri.
Hata rims za matair zinatengeneza huko japan zikija bongo zinatumika kama kengele za shuleni. Makabati ya kuwekea nguo ya kitambaa sasa ivi yanatumika kupigia nyungu seasoni ya pili.
Aisee bongo sihami[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
zipo sana tu na nadhani kwa Tanzania ndio common. Ya kwangu mie inapikia kwenye gesi ,umeme na mkaa..... hata kwenye kuni inamudu ila sijajaribuHakunaga pressure cooker ya kupikia kwenye gesi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rice cooker sio kwa ajili ya wali tu, watu tushapikia magimbi, tushapikia maharage, tushapikia mchemsho, tushasongea ugali...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio hivyo ukitaka kujua rice cooker lina kazi nyingi usiwe na gesi wala mkaa kwako[emoji38][emoji38]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
aaahhh...mkaka mtanashati ukitoka nje majirani wanajua kabisa sahizi mzee umepiga kitu cha harage😀 kimya kimya ndio mwakeAsa siri gani kwenye kupika mkuu unapika gongo ndo ujifiche au
Mkuu ushawahi kuchemsha magimbi/ndizi kwenye electric kettle? [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unachemshia hata maji ya kuoga ???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio hivyo ukitaka kujua rice cooker lina kazi nyingi usiwe na gesi wala mkaa kwako[emoji38][emoji38]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
asante sana....but juice tena?how?With greater timing waweza pikia tambi, mihogo, viazi na kutengenezea juisi.
Kuni utakuwa unaunguza mikono yake emu ikague vizuri presha coocker yako utagundua sehemu za mikono imeanza kama kupukutika(corroded)zipo sana tu na nadhani kwa Tanzania ndio common. Ya kwangu mie inapikia kwenye gesi ,umeme na mkaa..... hata kwenye kuni inamudu ila sijajaribu
Mkuu hivi vitu nilishavifanya sana wakati bado najipikilisha.Mkuu ushawahi kuchemsha magimbi/ndizi kwenye electric kettle? [emoji38][emoji38]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]