Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

Yajayo yanafurahisha yana mda basi kuna mmoja alikuwa hivyo hivyo alikuja kutimuliwa kama ng'ombe sasa hivi anahangaika tu.
 
Yajayo yanafurahisha yana mda basi kuna mmoja alikuwa hivyo hivyo alikuja kutimuliwa kama ng'ombe sasa hivi anahangaika tu.
Yes , ila Mungu yupo hawezi fanana na mtu mwingine yeye ni yeye huyu ni huyuuu
 
hizo ni baadhi ya mbinu za kufanikiwa,kitu muhimu asiache ni uaminifu,asije akachepuka jamani
 
Kuna jamaa yangummoja anaishi ukweni Mapinga, Bagamoyo. Yeye ameoa kabisa na watoto wamepata watatu sasa. Familia nzima imememkubali.. Duniani kuna mambo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…