To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😂😂Usiongeze walk kupunguza neno baadae uzi ufungwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Usiongeze walk kupunguza neno baadae uzi ufungwe.
😂😂😂ngoja aje akuthibitishie aliyenikojoleaNikiwaambiwa To yeye She is a Man muwe mnanielewa sawa Unique Flower
Umenikumbusha enzi za makonda enzi zile anamfunga kamba za viatu....Vijana igeni mifano, mambo yakiwa hayaeleweki wewe jizime data tu, swallow ur pride. Habari hii ni ukweli kwa asilimia 100, ni hapa hapa dar, hakuna neno ata moja la uongo nililo liongezea, nimeshuudia kwa macho yangu na sasa ata huyu demu wake ni rafiki angu pia.
Huu ni uchawi hupaswi kuleta kisa au simulizi kama hiiSio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma.
Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali tu nazani, ila baadae ndo akastuka demu anakaa kwao ghorofani ndo akajua kile kina kirefu sasa mbinu za kivita zinahitajika.
Demu wazazi wazungu wazungu hawana hiyana, so akawa anampeleka mshikaji hapo kwao, kamtambulisha na nini, mwana nae mchangamfu sana, uongo mwingi, akawachangamkia sana wazazi yaani akifika kwao na demu ni anazungumza na kila mtu pale ana msifia kila mtu pale.
Sasa siku moja kamkuta mama mkwe anaumwa miguu imevimba, mshikaji bila haya bila uoga akaomba mafuta ya masaji, akaanza kumkanda bi maza na kumchua vizuri mbele ya familia yote, baba mkwe anashangaa iki nini? demu kapigwa butwaa, kaka zake wanashangaa ebhana hii kali, mwana yuko bize anamkanda bi mkubwa miguu huku ana mwambia "wewe ni mama angu mzazi siwezi kuona unateseka hivi na mie kijana wako nipo hapa".
Sasa ikawa ile familia ata itake nini, msela atajitolea kwa asilimia 100, akija hivi mchana akamkuta baba mkwe amekaa kwenye sofa anatizama tv anaenda kwenye friji anamletea mzee maji anamwambia "baba kunywa maji mchana huu mwanadamu analoose maji mengi mwilini", halaf anampa demu care ya ajabu, akiwa home kwao pale hata mtu alalamike bando limemuishia yeye anasema ngoja nikakuchukulie vocha dukani na anaenda haigizi. Sasa katengeneza dependency ya ajabu, familia nzima inamtegemea mno.
Sasa imefikia point familia nzima inamuamini haswa, baba mkwe siku hizi anamtuma mwana akamchukulie kodi kwenye nyumba zake za wapangaji huko Tabata na mwana ni muaminifu haswa.
Ananiambia january hapo anaanza kazi shirika flani hivi la mafuta lipo kigamboni, baba mkwe kamconnect, na anaishi kwao na demu safi kabisa na wazazi wa demu wameshamwambia demu kwamba hatoolewa na mtu mwingine isipokua huyu na wazee wana mcount kama blessing mpya kwenye familia yao.
Hitimisho
Vijana igeni mifano, mambo yakiwa hayaeleweki wewe jizime data tu, swallow ur pride. Habari hii ni ukweli kwa asilimia 100, ni hapa hapa dar, hakuna neno ata moja la uongo nililo liongezea, nimeshuudia kwa macho yangu na sasa ata huyu demu wake ni rafiki angu pia.
I think you should know by now, there's levels to this shit....bando limemuishia anasema ngoja nikufuatie VOCHA DUKANI... Hehehe family ya kishuaa hii ety?
[emoji1787][emoji1787]Atokee mwamba wa kishua nikajizime data kwao basi [emoji28][emoji28]
Foleni ila najaUnafeli wapi hujaja mpaka sasa?
Ingekuwa kwa mwanamke ni sahihi kabisaa tena ndo wa kuitwa mke mwema, ila kwa mwanaume haifai japo tusimkandie kaona atoke vipi sasa, kabahatisha na familia ya binti ni waelewa kiaina
iv una fahamu kwamba kwenye maisha kuna watu wamefanya kila walichotakiwa kukifanya na hawajafanikiwa? Kuna vijana wana elimu nzuri na wamejaribu kila kitu ila haijawa chochote. So naamini hakuna mtu mwenye juhudi kubwa kwenye nchi hii kumzidi muendesha guta, ila matokeo ya kiuchumi je? 😂😂Nyie msifurahie huu uzi ,unaenda kutengeneza bomu la taifa, vijana wapenda dezo wanaenda kushinda beach kusubiri wadada mboga saba. Wakidhani nao watawini kama huyo jamaa yako.
Maskin mpe elimu usimpe pesa, huyu jamaa yako miaka miwili anakwenda kuvimba, naomba uendelee kuwa hai siku moja uje utuletee mrejesho.kuna siku watalia kisa huyo kijana.
Hii story mm haijanivutia hata kidogo, mwanaume kupenda dezo ni kinyaa.