ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Huyo ni chawa maarifaDah stori inafurahisha sana, haina tofauti na hawa wanaoitwa machawa wa town😍😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni chawa maarifaDah stori inafurahisha sana, haina tofauti na hawa wanaoitwa machawa wa town😍😍
Eti sifagilii social media! Kazi umbea tu kwani huwezi kuninyamazia mambo yangu?sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma
Hata jamaa ndio ameamua kuukataa kwa njia hiyo, vita dhidi ya umaskini wakati mwingine haichagui silahaUmaskini ni kitu kibaya sana. Kataa umaskini
Yani ukifika huko maghorofani ni kubusu mikono ya ba mkwe kila baada ya nusu saa, sidiria za mama mkwe unazifua mwenyewe....mawigi ya mawifi ni kuyapaka mafuta muda wote yanang'aa....Mwari wangu wasipokupa connection ya Kazi UN huko, njoo uniite mbwa🤣Atokee mwamba wa kishua nikajizime data kwao basi 😅😅
Kuna mahali nimeona kama umeandika "Mwana nae mchangamfu sana uongo mwingi!". So jamaa ni Uchawa unaomlipa sasa. Ila ni mtumwa kama watumwa wengine.hakuna furaha ya maisha kwa sababu kama unavyoona jamaa anafanya hivyo siyo kwamba kwa kufarahi ila kwa kufurahisha.Kiujumla hayo si maisha ya maanasio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma.
Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali tu nazani, ila baadae ndo akastuka demu anakaa kwao ghorofani ndo akajua kile kina kirefu sasa mbinu za kivita zinahitajika.
Demu wazazi wazungu wazungu hawana hiyana, so akawa anampeleka mshikaji hapo kwao, kamtambulisha na nini, mwana nae mchangamfu sana, uongo mwingi, akawachangamkia sana wazazi yaani akifika kwao na demu ni anazungumza na kila mtu pale ana msifia kila mtu pale.
Sasa siku moja kamkuta mama mkwe ana umwa miguu imevimba, mshikaji bila haya bila uoga akaomba mafuta ya masaji, akaanza kumkanda bi maza na kumchua vizuri mbele ya familia yote, baba mkwe anashangaa iki nini? demu kapigwa butwaa, kaka zake wanashangaa ebhana hii kali, mwana yuko bize anamkanda bi mkubwa miguu huku ana mwambia "wewe ni mama angu mzazi siwezi kuona unateseka iv na mie kijana wako nipo hapa".
sasa ikawa ile familia ata itake nini, msela atajitolea kwa asilimia 100, akija iv mchana akamkuta baba mkwe amekaa kwenye sofa anatizama tv anaenda kwenye friji anamletea mzee maji anamwambia "baba kunywa maji mchana huu mwanadamu analoose maji mengi mwilini", alaf anampa demu care ya ajabu, akiwa home kwao pale ata mtu alalamike bando limemuishia yeye anasema ngoja nikakuchukulie vocha dukani na anaenda haigizi. sasa katengeneza dependency ya ajabu, familia nzima inamtegemea mno.
Sasa imefikia point familia nzima inamuamini haswa, baba mkwe siku hizi anamtuma mwana akamchukulie kodi kwenye nyumba zake za wapangaji huko tabata na mwana ni muaminifu haswa.
Ananiambia january hapo anaanza kazi shirika flani iv la mafuta lipo kigamboni, baba mkwe kamconnect, na anaishi kwao na demu safi kabisa na wazazi wa demu wameshamwambia demu kwamba hato olewa na mtu mwingine isipokua huyu na wazee wana mcount kama blessing mpya kwenye familia yao.
Hitimisho
Vijana igeni mifano, mambo yakiwa hayaeleweki wewe jizime data tu, swallow ur pride. Habari hii ni ukweli kwa asilimia 100, ni hapa hapa dar, hakuna neno ata moja la uongo nililo liongezea, nimeshuudia kwa macho yangu na sasa ata huyu demu wake ni rafiki angu pia.
666 chata umetisha hapo ukwenisio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma.

Mmmmmmmh [emoji848]Eti sifagilii social media! Kazi umbea tu kwani huwezi kuninyamazia mambo yangu?
Nilidhania rafiki wa kushibana kumbe mmbea [emoji57]
Kuna mtu alisemaga mjini ukitoa aibu unaishi. Ndo hii hapa, mwana kapita na upenyo huoo....cha msingi hiyo kazi akafanye kweli, ajijenge haya maisha asiyefanya ndo mbaka mwisho wa kufa.💪sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma.
Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali tu nazani, ila baadae ndo akastuka demu anakaa kwao ghorofani ndo akajua kile kina kirefu sasa mbinu za kivita zinahitajika.
Demu wazazi wazungu wazungu hawana hiyana, so akawa anampeleka mshikaji hapo kwao, kamtambulisha na nini, mwana nae mchangamfu sana, uongo mwingi, akawachangamkia sana wazazi yaani akifika kwao na demu ni anazungumza na kila mtu pale ana msifia kila mtu pale.
Sasa siku moja kamkuta mama mkwe ana umwa miguu imevimba, mshikaji bila haya bila uoga akaomba mafuta ya masaji, akaanza kumkanda bi maza na kumchua vizuri mbele ya familia yote, baba mkwe anashangaa iki nini? demu kapigwa butwaa, kaka zake wanashangaa ebhana hii kali, mwana yuko bize anamkanda bi mkubwa miguu huku ana mwambia "wewe ni mama angu mzazi siwezi kuona unateseka iv na mie kijana wako nipo hapa".
sasa ikawa ile familia ata itake nini, msela atajitolea kwa asilimia 100, akija iv mchana akamkuta baba mkwe amekaa kwenye sofa anatizama tv anaenda kwenye friji anamletea mzee maji anamwambia "baba kunywa maji mchana huu mwanadamu analoose maji mengi mwilini", alaf anampa demu care ya ajabu, akiwa home kwao pale ata mtu alalamike bando limemuishia yeye anasema ngoja nikakuchukulie vocha dukani na anaenda haigizi. sasa katengeneza dependency ya ajabu, familia nzima inamtegemea mno.
Sasa imefikia point familia nzima inamuamini haswa, baba mkwe siku hizi anamtuma mwana akamchukulie kodi kwenye nyumba zake za wapangaji huko tabata na mwana ni muaminifu haswa.
Ananiambia january hapo anaanza kazi shirika flani iv la mafuta lipo kigamboni, baba mkwe kamconnect, na anaishi kwao na demu safi kabisa na wazazi wa demu wameshamwambia demu kwamba hato olewa na mtu mwingine isipokua huyu na wazee wana mcount kama blessing mpya kwenye familia yao.
Hitimisho
Vijana igeni mifano, mambo yakiwa hayaeleweki wewe jizime data tu, swallow ur pride. Habari hii ni ukweli kwa asilimia 100, ni hapa hapa dar, hakuna neno ata moja la uongo nililo liongezea, nimeshuudia kwa macho yangu na sasa ata huyu demu wake ni rafiki angu pia.
😂😂😂😂😂😂 wee ni kichaa sanaYani ukifika huko maghorofani ni kubusu mikono ya ba mkwe kila baada ya nusu saa, sidiria za mama mkwe unazifua mwenyewe....mawigi ya mawifi ni kuyapaka mafuta muda wote yanang'aa....Mwari wangu wasipokupa connection ya Kazi UN huko, njoo uniite mbwa🤣
Cha msingi ndugu yangu wewe jizime data tuKuna mahali nimeona kama umeandika "Mwana nae mchangamfu sana uongo mwingi!". So jamaa ni Uchawa unaomlipa sasa. Ila ni mtumwa kama watumwa wengine.hakuna furaha ya maisha kwa sababu kama unavyoona jamaa anafanya hivyo siyo kwamba kwa kufarahi ila kwa kufurahisha.Kiujumla hayo si maisha ya maana