Namna neno la Mungu kutoka kwenye Biblia linavyoweza kukupa MAARIFA kwenye maisha yako

kama amepanga kila kitu kwanini watu wanaumiza akili haswa kuvumbua vitu, kama kapanga kila kitu kwanini wanawekeza wengine wanafeli na kufanikiwa

Kwanini watu wanafanya kazi kwa mateso makali wanapigika vibaya mno
Ndo maana nakuambiaga uelewa wako wa Mungu ni mdogo sana
Kwa sababu hayupo
 
Hata Quran ni story za jaba
Qur'an ni maneno ya mtume kutoka kwa Mungu mwenywe iwe kweli au uongo lakn ni maneno aliyosema yeye,

Turudi kwenye biblia sasa asilimia 90 no maneno ya wahuni wa galilaya ambao hawakuwahi KUMUONA hata huyo Yesu na hawamjui kabsa, Yani kifupi kama wewe uandike kitabu kuhusu kinjeketile ngwale na ujifanye unamjua sana
 
Quran imecopy biblia
Uje uongelee maneno na stori ambazo zipo miaka 600 kabla yako alafu useme ni neno la Mungu sasa hapo siume copy na kupaste

Quran imesema kwa maelezo zaidi usome biblia huoni kama haya ni maajabu
 
Mungu anayemtuma pedophile na bwana vita ni zaidi ya kituko, hata kama yupo huyo mungu anapaswa kuepukwa.

Wewe unaweza kukubali mtoto wako wa miaka Tisa kuolewa ?
 
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist

𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬 𝑴𝑨𝑰𝑺𝑯𝑨, 𝑴𝑩𝑰𝑵𝑼 𝒁𝑨 𝑲𝑰𝑭𝑰𝑲𝑹𝑨 (𝑴𝑨𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨) 𝑵𝑨 𝑴𝑰𝑼𝑱𝑰𝒁𝑨

𝙒𝙖𝙚𝙗𝙧𝙖𝙣𝙞𝙖 4:12
𝑀𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑁𝑒𝑛𝑜 𝑙𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑙𝑖 ℎ𝑎𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑢𝑘𝑎𝑙𝑖 𝑘𝑢𝑙𝑖𝑘𝑜 𝑢𝑝𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑢𝑤𝑎𝑜 𝑤𝑜𝑡𝑒 𝑢𝑘𝑎𝑡𝑎𝑜 𝑘𝑢𝑤𝑖𝑙𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑎𝑐ℎ𝑜𝑚𝑎 ℎ𝑎𝑡𝑎 𝑘𝑢𝑧𝑖𝑔𝑎𝑤𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑛𝑎𝑓𝑠𝑖 𝑛𝑎 𝑟𝑜ℎ𝑜, 𝑛𝑎 𝑣𝑖𝑢𝑛𝑔𝑜 𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑓𝑢𝑡𝑎 𝑦𝑎𝑙𝑖𝑦𝑜𝑚𝑜 𝑛𝑑𝑎𝑛𝑖 𝑦𝑎𝑘𝑒; 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖 𝑗𝑒𝑝𝑒𝑠𝑖 𝑘𝑢𝑦𝑎𝑡𝑎𝑚𝑏𝑢𝑎 𝑚𝑎𝑤𝑎𝑧𝑜 𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑘𝑢𝑠𝑢𝑑𝑖 𝑦𝑎 𝑚𝑜𝑦𝑜.

  1. Neno la Mungu litakupa wazo jipya kwenye fikra zako na mbinu za kufanya ili utoke hapo ulipo (Litakupa maarifa)
  2. Neno la Mungu linaondoa roho chafu zinazo whisper kwenye akili yako kama njia ya kukuharibu
  3. Neno la Mungu linafanya miujiza panapostahili miujiza
👇👇👇👇
Wewe kama unashida au changamoto tamka mistari ya biblia ambayo ntakua nashare huku kwenye huu uzi ni bure na hakuna malipo

𝙉𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙮𝙖 𝙎𝙖𝙙𝙖𝙠𝙖
0748520181 𝙟𝙞𝙣𝙖 𝙙𝙚𝙣𝙣𝙞𝙨 𝙍𝙤𝙗𝙚𝙧𝙩 𝙎𝙝𝙪𝙜𝙝𝙪𝙧𝙪

𝙉𝙀𝙉𝙊 𝙉𝘼𝙇𝙊𝙎𝙃𝘼𝙍𝙀 𝙇𝙄𝙏𝘼𝙆𝙐𝙒𝙀𝙕𝙀𝙎𝙃𝘼
  • 𝐾𝑢𝑘𝑢𝑝𝑎 𝑚𝑏𝑖𝑛𝑢 𝑧𝑎 𝑘𝑖𝑓𝑖𝑘𝑟𝑎 𝑧𝑎 𝑘𝑢𝑝𝑎𝑡𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑒𝑗𝑎
  • 𝐾𝑢𝑘𝑢𝑝𝑎 𝑚𝑏𝑖𝑛𝑢 𝑧𝑎 𝑘𝑖𝑓𝑖𝑘𝑟𝑎 𝑧𝑎 𝑘𝑢𝑡𝑜𝑘𝑎 𝑢𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑛𝑦𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑛𝑔𝑢𝑚𝑢 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑝𝑜𝑡𝑒𝑧𝑎 𝑘𝑎𝑧𝑖
  • 𝐾𝑢𝑘𝑢𝑝𝑎 𝑚𝑏𝑖𝑛𝑢 𝑧𝑎 𝑘𝑖𝑓𝑖𝑘𝑟𝑎 𝑧𝑎 𝑘𝑢𝑡𝑜𝑘𝑎 𝑢𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑢𝑚𝑒𝑓𝑖𝑙𝑖𝑠𝑖𝑘𝑎
  • 𝐾𝑢𝑜𝑛𝑑𝑜𝑎 𝑚𝑎𝑗𝑖𝑛𝑖 𝑦𝑎𝑛𝑎𝑦𝑜𝑘𝑢𝑠𝑢𝑚𝑏𝑢𝑎
  • 𝐾𝑢𝑙𝑖𝑛𝑑𝑎 𝑏𝑖𝑎𝑠ℎ𝑎𝑟𝑎 𝑦𝑎𝑘𝑜, 𝑛𝑦𝑢𝑚𝑏𝑎 𝑦𝑎𝑘𝑜, 𝑔𝑎𝑟𝑖 𝑙𝑎𝑘𝑜, 𝑛𝑎 𝑓𝑎𝑚𝑖𝑙𝑖𝑎 𝑦𝑎𝑘𝑜
  • 𝐾𝑢𝑘𝑢𝑝𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢 𝑤𝑒𝑤𝑒/𝑛𝑑𝑢𝑔𝑢/𝑟𝑎𝑓𝑖𝑘𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑦𝑒𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝐴𝑅𝑉𝑠 𝑛𝑎 𝑢𝑠𝑖𝑎𝑐ℎ𝑒 𝑘𝑢𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝑑𝑎𝑤𝑎
  • 𝐾𝑢𝑘𝑢𝑝𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢 𝑤𝑒𝑤𝑒/𝑛𝑑𝑢𝑔𝑢/𝑟𝑎𝑓𝑖𝑘𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑦𝑒𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝑑𝑎𝑤𝑎 𝑧𝑎 𝑠𝑢𝑘𝑎𝑟𝑖 𝑛𝑎 𝑢𝑠𝑖𝑎𝑐ℎ𝑒 𝑘𝑢𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝑑𝑎𝑤𝑎
  • 𝐾𝑢𝑘𝑢𝑝𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢 𝑤𝑒𝑤𝑒/𝑛𝑑𝑢𝑔𝑢/𝑟𝑎𝑓𝑖𝑘𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑦𝑒𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝑑𝑎𝑤𝑎 𝑧𝑎 𝑝𝑟𝑒𝑠𝑠𝑢𝑟𝑒 𝑛𝑎 𝑢𝑠𝑖𝑎𝑐ℎ𝑒 𝑘𝑢𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝑑𝑎𝑤𝑎
  • 𝐾𝑢𝑘𝑢𝑝𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢 𝑤𝑒𝑤𝑒/𝑛𝑑𝑢𝑔𝑢/𝑟𝑎𝑓𝑖𝑘𝑖 𝑎𝑚𝑏𝑎𝑦𝑒 𝑦𝑢𝑝𝑜 𝑘𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑑𝑖𝑎𝑙𝑦𝑠𝑖𝑠 𝑛𝑎 𝑢𝑠𝑖𝑎𝑐ℎ𝑒
  • 𝐾𝑢𝑘𝑢𝑝𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢 𝑤𝑒𝑤𝑒/𝑛𝑑𝑢𝑔𝑢/𝑟𝑎𝑓𝑖𝑘𝑖 𝑎𝑚𝑏𝑎𝑦𝑒 𝑢𝑝𝑜 𝑘𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑐ℎ𝑒𝑟𝑚𝑜𝑡ℎ𝑒𝑟𝑎𝑝𝑦 𝑛𝑎 𝑢𝑠𝑖𝑎𝑐ℎ𝑒 𝑘𝑢𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝑑𝑎𝑤𝑎
  • 𝐾𝑢𝑓𝑢𝑛𝑔𝑢𝑎 𝑎𝑘𝑖𝑙𝑖 𝑦𝑎𝑘𝑜 𝑎𝑚𝑏𝑎𝑦𝑜 𝑖𝑛𝑎𝑠ℎ𝑖𝑛𝑑𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑒𝑙𝑒𝑤𝑎 𝑏𝑎𝑎𝑑ℎ𝑖 𝑦𝑎 𝑚𝑎𝑚𝑏𝑜 𝑦𝑎 𝑑𝑢𝑛𝑖𝑎
Lengo kubwa sana la kumwabudu Mungu ni kukupa mbinu (maarifa) za kutoka hapo ulipo, watu wanakosea wanapotegemea miujiza lengo la kumwabudu Mungu sio kukupa miujiza bali mbinu za kifikra uziweke kwenye matendo zikusaidie kwenye maisha. Ndo maana kila mtu ana ubongo the most complex organ in universe-kama lengo ni miujiza tusingekuwa na ubongo-miujiza ipo ila inasehemu ndogo sana kwenye maisha ya mwanadamu

Karibuni sana
I call it Nature.
 
Mungu anayemtuma pedophile na bwana vita ni zaidi ya kituko, hata kama yupo anapaswa kuepukwa.
Wewe unaweza kukubali mtoto wako wa miaka Tisa kuolewa ?
Wewe mtukane Mungu unavyoweza ila fahamu kwa Mungu wewe ni kikaragosi kidogo sana ila ametoa ridhaa umtukane yeye hana shida ila usivuke mipaka

Na sio wa kwanza kuja na hizi heresy wako waliokuja nazo na sahivi hawapo tena
 
Quran imecopy biblia
Uje uongelee maneno na stori ambazo zipo miaka 600 kabla yako alafu useme ni neno la Mungu sasa hapo siume copy na kupaste

Quran imesema kwa maelezo zaidi usome biblia huoni kama haya ni maajabu
Qur'an haina neno hata moja imekopi kutoka kwenye biblia zaidi ya Kutoka vitabu vya kale Tanakh ya wayahudi (injili) , zaburi, torati tu hakuna neno lolote ya Paulo na wahuni wenzie

Nikukumbushe tu agano la kale sio kitabu cha wakristo ilikuwepo kabla ya Yesu
 
Wewe mtukane Mungu unavyoweza ila fahamu kwa Mungu wewe ni kikaragosi kidogo sana ila ametoa ridhaa umtukane yeye hana shida ila usivuke mipaka

Na sio wa kwanza kuja na hizi heresy wako waliokuja nazo na sahivi hawapo tena
Hayupo huyo mungu wa Wayahudi, hata wewe sio wa kwanza kuja na hizi hearsays, wako waliokuja nazo kama wewe na sahivi hawapo tena.
 
Mungu anayemtuma pedophile na bwana vita ni zaidi ya kituko, hata kama yupo huyo mungu anapaswa kuepukwa.

Wewe unaweza kukubali mtoto wako wa miaka Tisa kuolewa ?
Bikira Maria alitolewa posa na Joseph akiwa na miaka mingapi, au kunya anye kuku? Na hio ni zaman kabla ya Muhammad saw kuja

Tukiongelea vita na massacre riwaya yenu ndo inaongoza kwa Aya za kuuana

Hapo sijagusia crusader
 
Kama Joseph alimuoa Maria akiwa mtoto naye ni pedophile kama Muhammad tu.

Crusades, vita vya dini na jihadi wote ni ushahidi mungu wa Wayahudi aliyerithiwa na Wagalatia na Kobaz hayupo.
 
Naunga mkono hoja
 
Mastari wa kukupa mbinu ya kupata wateja
👇👇👇👇👇
YESU KRISTO WA NAZARETH+(Mithali 1:20-21)+DRS+(jina la unayemuombea kama yupo, ila kama unajiombea mwenyewe ishia hapo kwenye DRS)
👇👇👇
Itamke kimoyo-moyo kwa imani na utapata mbinu, mikakati na miujiza ya kupata wateja kwenye biashara yako mara nyingi uwezavyo
Share na watu wengine
👇👇👇👇
Sadaka ni hiari-0748520181 jina dennis Robert Shughuru
MTUMISHI ubarikiwe kwa Uzi huu ila pià vizuri ungetuongoza na namna ya kufanya maombi kwenye hii mistari ya bibia uliyotupa
 
Qur'an ni maneno ya mtume kutoka kwa Mungu mwenywe iwe kweli au uongo lakn ni maneno aliyosema yeye,

Turudi kwenye biblia sasa asilimia 90 no maneno ya wahuni wa galilaya ambao hawakuwahi KUMUONA hata huyo Yesu na hawamjui kabsa, Yani kifupi kama wewe uandike kitabu kuhusu kinjeketile ngwale na ujifanye unamjua sana
unawezaje kuponda maandiko ya biblia na kusifu ya quran? Hapo ndipo unapokosea. Kwanza elewa quran imekopi maandiko mengi ya biblia, biblia ipo kitambo sana kuliko quran, ni bora ukawa neutral unapoponda
 
hutamki tu kama wanavyonena witch doctors kuna kanuni nyingi behind, the Word of God is an ingredient.
 
unawezaje kuponda maandiko ya biblia na kusifu ya quran? Hapo ndipo unapokosea. Kwanza elewa quran imekopi maandiko mengi ya biblia, biblia ipo kitambo sana kuliko quran, ni bora ukawa neutral unapoponda
Quran haijakopi neno hata moja kutoka kwenye biblia ya wakristo, Quran imechukua maneno ya Mungu kutoka kwenye maandiko ya vitabu vilivyotangulia kabla ya huyo yesu ambayo ni tanakh au agano la kale

Nitajie mstari wowote ulikopi kwenye kitabu chenu cha hekaya za alfu na ulela
 
usiwe mbishi, quran ni abrakadabra tu
 
Kama mtu anasumbuliwa na majini
👇👇👇👇
YESU KRISTO WA NAZARETH+(Matendo ya Mitume 2:1-4)+DRS+(jina la unayemuombea ambaye majini yanamsumbua na kama hayupo ishia hapo kwenye DRS)
👇👇👇👇
Itamke kimoyo-kimoyo mpaka pale jinj/majini yanayokutesa au mtesa mtu unayemuombea yataondoka na majini hayatakithuru wewe unayetamka
 
Quran haijakopi neno hata moja kutoka kwenye biblia ya wakristo, Quran imechukua maneno ya Mungu kutoka kwenye maandiko ya vitabu vilivyotangulia kabla ya huyo yesu ambayo ni tanakh au agano la kale

Nitajie mstari wowote ulikopi kwenye kitabu chenu cha hekaya za alfu na ulela
Imecopy yaani ueleze stori zile zile zilizokuwepo miaka 600 kabla yako alafu utuambie ni mpya kadanganye wajinga

Injili, torati, zaburi ambazo zipo kwenye quran tayari zilikuwa kwenye biblia, habari za adam, Musa, daudi, na nyingine zipo kwenye quran ili zilikuwa kwenye biblia miaka 600 kabla hata ya uwepo wa quran

Quran yenyewe ina-acknwledge biblia
 
Back
Top Bottom