Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

Anataka harusi ya mbwembwe nyingi?
Hapana. Ila anataka hatua zote zifuatwe mpaka mahari anasema idea yangu ya DC ni kuescape hatua na wakati ndoa yenyewe Mungu hatojua kama inaexist
 
Hiki ndicho kinawakwamisha watoto wa sikuhizi mnaozea makwenu[emoji23] yani unakuta kufanya majukumu ya mke mtu hawezi ila anataka harusi ya 40M
Mbona ya 40 ndogo mkuu. Kuhusu majukumu ya ndoa achana nayo. Mimi kutaka shughuli ya mamilioni haimaanishi kwamba eti siwezi majukumu yangu. Hatuwezi fanana wote. Utafunga ya 300k, meingine ya 1mil. Mwingine hata 50mil meingine 100mil. Kwahiyo tusikariri bob.
 
Hapana. Ila anataka hatua zote zifuatwe mpaka mahari anasema idea yangu ya DC ni kuescape hatua na wakati ndoa yenyewe Mungu hatojua kama inaexist
Dahh, kila la heri mkuu
 
Z.jpg
KARIBU KUNDINI
 
Gharama nyingi zipo upande wa mwanamke, sherehe wanataka iwe kubwa na vile unataka mke huna budi kuchangia usije ukanyimwa mke.

Gharama kwa upande wa mume ni wakina mama ndo wanapenda kukuza jambo na kulifanya liwe kubwa huku gharama zikiteketea.

Pressure kubwa inayotoka kwa wanandugu na watu wa karibu inaongeza gharama.

Nina ndugu yangu mmoja alitumia pesa nyingi sana kwenye harusi yake baada ya mwaka ndoa imekufa. Huku bado madeni ya harusi hayajaisha, ndoa imedumu mwaka mmoja tu
 
Inatakiwa kukubaliana vyema na mwenza, daah, pole kwake aisee, tuzidi kuombea mema yampate
 
Mbona ya 40 ndogo mkuu.
Kuhusu majukumu ya ndoa achana nayo. Mimi kutaka shughuli ya mamilioni haimaanishi kwamba eti siwezi majukumu yangu. Hatuwezi fanana wote. Utafunga ya 300k, meingine ya 1mil. Mwingine hata 50mil meingine 100mil. Kwahiyo tusikariri bob.
Sawa sawa watoto wa Mangi Meli huwa mna matambo 😂
 
Sijawahi waza kuwa na sherehe ya harusi ya gharama wala kuchangisha michango,niliwahi ona watu wanavyohangaika na wazazi wao kusambaza kadi nikasema sitafanya hii shughuli.

Uziri maza nae hanaga mambo mengi ya kutaka sherehe impe sifa mtaani,so itakua simple tu Mungu saidia.

Nimeamua kuanza saving kidogo kidogo ili muda unapofika niwe na kitu fulani.

Kuna bro wangu baada ya harusi alikua anadaiwa milioni 2 na yeye ni mwalimu ilimtesa sana

Umenihamasisha sana mkuu,kila la heri.
 
Safi sana. Fanya hivyo mkuu, epuka sana madeni.

Shukrani na ninakutakia baraka zaidi.
 
Ujinga tuu...rudini katk asili zenu, achen kuiga uzungu, mwishoe mnaarbu mambo kwa kuendekeza udunia na uzungu...simply harusi ilitakiwa imalizikie uko ibadani ambapo mkishafunganishana mapete, bas kila mtu atawanyike arudi kwake huku ninyi mliooana mnaenda magetoni/nyumban kuifaid ndoa,
Uliyoeleza ni kinyume na uafrika. Uafrika una ibada kwenye harusi? Ila kula na kunywa ndio penyewe. Sasa wewe unaponda kula na kunywa na kufagilia ibada. Muafrika wa wapi wewe?
 
Wasalaam,

Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake.
Kwann ukodi mpaka nguo kwa ajili ya harusi?? si ungenunua ya uwezo wako?
 
Back
Top Bottom