Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Hapana. Ila anataka hatua zote zifuatwe mpaka mahari anasema idea yangu ya DC ni kuescape hatua na wakati ndoa yenyewe Mungu hatojua kama inaexistAnataka harusi ya mbwembwe nyingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Ila anataka hatua zote zifuatwe mpaka mahari anasema idea yangu ya DC ni kuescape hatua na wakati ndoa yenyewe Mungu hatojua kama inaexistAnataka harusi ya mbwembwe nyingi?
Mbona ya 40 ndogo mkuu. Kuhusu majukumu ya ndoa achana nayo. Mimi kutaka shughuli ya mamilioni haimaanishi kwamba eti siwezi majukumu yangu. Hatuwezi fanana wote. Utafunga ya 300k, meingine ya 1mil. Mwingine hata 50mil meingine 100mil. Kwahiyo tusikariri bob.Hiki ndicho kinawakwamisha watoto wa sikuhizi mnaozea makwenu[emoji23] yani unakuta kufanya majukumu ya mke mtu hawezi ila anataka harusi ya 40M
Hiyo ndo jamii yetu. Usikariri kwamba watu wanafanana. Na kama umezoea kuchanga mil na wewe utachangiwa mil, kama unachangaga 70k basi utapokea hizohizo. Cha kufanya fanya kulingana na uwezo wakoWakati wa kulipa madeni watawasaidia?
Dahh, kila la heri mkuuHapana. Ila anataka hatua zote zifuatwe mpaka mahari anasema idea yangu ya DC ni kuescape hatua na wakati ndoa yenyewe Mungu hatojua kama inaexist
Inatakiwa kukubaliana vyema na mwenza, daah, pole kwake aisee, tuzidi kuombea mema yampateGharama nyingi zipo upande wa mwanamke, sherehe wanataka iwe kubwa na vile unataka mke huna budi kuchangia usije ukanyimwa mke.
Gharama kwa upande wa mume ni wakina mama ndo wanapenda kukuza jambo na kulifanya liwe kubwa huku gharama zikiteketea.
Pressure kubwa inayotoka kwa wanandugu na watu wa karibu inaongeza gharama.
Nina ndugu yangu mmoja alitumia pesa nyingi sana kwenye harusi yake baada ya mwaka ndoa imekufa. Huku bado madeni ya harusi hayajaisha, ndoa imedumu mwaka mmoja tu
Ndyo nakula na hamna wakunifanya kitu, chamsingi nimetoa taarifa kupitia kamati[emoji23][emoji23][emoji23]Kirahisi tu ule michango unataka ugomvi mzee ununiwe na ndugu wote [emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]unakaliwa kikao cha ukooHii kama Lulu na majizzo [emoji23] sema kwa mtu wa kawaida utaonekana bahili na wana ndugu watakupondea sana ila kwa watu wenye pesa inaonekana uzungu!
Bwana wee yani acha tu kikao pie[emoji23][emoji23][emoji23]unakaliwa kikao cha ukoo
Sawa sawa watoto wa Mangi Meli huwa mna matambo 😂Mbona ya 40 ndogo mkuu.
Kuhusu majukumu ya ndoa achana nayo. Mimi kutaka shughuli ya mamilioni haimaanishi kwamba eti siwezi majukumu yangu. Hatuwezi fanana wote. Utafunga ya 300k, meingine ya 1mil. Mwingine hata 50mil meingine 100mil. Kwahiyo tusikariri bob.
Kama hapo sawa 😂Nilishajumlisha ni milioni 2 na laki 3
Halafu baadaye mke naye anakuacha.Ndiyo inavyotakiwa mkuu, siyo kuacha madeni nyuma
Aah weee.. mimi siyo muanjo ndugu yangu[emoji28][emoji28] miye muorombo pure breed. Mangi wangu mwingine kabisa. Ila ndo hivyo, bia, pombe kali. Nyama za kutosha ndo kauli mbiu hasa uvirii. Si unaujua uviri lakini eh?Sawa sawa watoto wa Mangi Meli huwa mna matambo [emoji23]
Safi sana. Fanya hivyo mkuu, epuka sana madeni.Sijawahi waza kuwa na sherehe ya harusi ya gharama wala kuchangisha michango,niliwahi ona watu wanavyohangaika na wazazi wao kusambaza kadi nikasema sitafanya hii shughuli.
Uziri maza nae hanaga mambo mengi ya kutaka sherehe impe sifa mtaani,so itakua simple tu Mungu saidia.
Nimeamua kuanza saving kidogo kidogo ili muda unapofika niwe na kitu fulani.
Kuna bro wangu baada ya harusi alikua anadaiwa milioni 2 na yeye ni mwalimu ilimtesa sana
Umenihamasisha sana mkuu,kila la heri.
Uliyoeleza ni kinyume na uafrika. Uafrika una ibada kwenye harusi? Ila kula na kunywa ndio penyewe. Sasa wewe unaponda kula na kunywa na kufagilia ibada. Muafrika wa wapi wewe?Ujinga tuu...rudini katk asili zenu, achen kuiga uzungu, mwishoe mnaarbu mambo kwa kuendekeza udunia na uzungu...simply harusi ilitakiwa imalizikie uko ibadani ambapo mkishafunganishana mapete, bas kila mtu atawanyike arudi kwake huku ninyi mliooana mnaenda magetoni/nyumban kuifaid ndoa,
Kwann ukodi mpaka nguo kwa ajili ya harusi?? si ungenunua ya uwezo wako?Wasalaam,
Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake.
Mimi nilitumia 700,000/=,Na ndoa ilifana.Gharama zote Hizo..? Ngoja Waje Watani zetu Wapare wakupe dondoo Muhimu Kwenye Kubana Bajeti Ya harusi..!