Namna nyingine ambayo kikundi, taasisi au mtu binafsi unaweza kuitumia kukuza biashara yako

Namna nyingine ambayo kikundi, taasisi au mtu binafsi unaweza kuitumia kukuza biashara yako

Timiza malengo

New Member
Joined
May 9, 2023
Posts
3
Reaction score
2
Kila mtu, kikundi au taasisi ni tamanio lake kuona ikikukua kufikia ubora au malengo waliyojiwekea. Namna bora ya kukua ni kutoa huduma au kuuza huduma huku ukiwafikia walengwa katika ubora ule ule. Wengi wetu imani kubwa tulijiwekea ni kuongeza walaji wa bidhaa au huduma zetu ili kuweza kufikia malengo.

Taasisi, vikundi au watu wengi hufanya kazi kwa kushirikiana katika kutoa au kuuza huduma/bidhaa. Ili ujitanue kibiashara lazima uwe na namna bora ya kuwafikia. Mfano kujitangaza.

Wengi wetu tunaamini kujitangza ni kwenda kwenye vyombo vya habari au njia za mitandao hasa ya kijamii. Tunasahau pia kuna namna bora ambayo inakupa wigo mkubwa wa kujitangaza na kumfikia mteja kupitia kuandika/kumuandikia wazo lako la kuuza bidhaa/ huduma yako kwake pale unapooma inafaa, kitaalam “business proposal“

Pia kuna namna ya ambayo unaweza kusubmit namna yako ya ufanyaji kazi, ambayo itasaidia kufikia malengo ya taasisi mtu au kikundi kupitia kazi aliyoombwa kufanyiwa,kitaalam “tender,, tendering, tender bidding ”.

Katika kuandaa wazo lako la kushawishi kufanya biashara au kutumia huduma/ bidhaa yako “business proposal”.

Kuna vitu baadhi yetu husahau ikiwemo tunaamini kwenye kuuza tuu na sio kuuza katika namna itakayonufaisha pande zote “ win to win”. Hivyo ni lazima unachotaka kikuuza kiwe na lengo la kumsaidia yeye kwanza.

Mfano unaweza kuona “opportunity “ ya kuuza mfano vifaa vyako vya stationery kwenye taasisi A, kulingana na ulivyofatilia ukisema uwauzie vifaa vya stationery kwa bei yao utapoteza faida kwa 30% kutoka kwenye makisio au mpango wako. Mara nyingi wengi tutaona haifai kuuza kwako. Wakati mwingine hii ni “opportunity” nzuri ungeweza ingia nao makubaliano ukapoteza iko 30% katika faida yako, baada ya muda unaweza kaa nao mezani ukazungumza kuhusu changamoto zako “mfano kuongezeka kwa gharama za usafiri au uzalishaji” na mkafikia makubaliano ya mkataba mpya ambao ungesaidia punguza upotevu wa faida hadi 10%. Ili litapewa kipaumbele sababu wameona utendaji wako haiwi kazi tena kuwashawishi kama muombaji mpya.

Vitu vingi vinatokea katika maisha ya biashara kila siku ni wajibu wetu kujua namna bora ya kuboresha uuzaji wa bidhaa au huduma zetu.

Je, una swali? au una wazo lako la kufanya biashara na mtu. Hujui uanzie wapi, Karibu tukusaidie kufikia upande wa pili wa kukuza biashara yako.

Utapata ushauri kuhusu Kuomba tender, kuandaa wazo la kuuza huduma au bidhaa kwa taasisi, mtu au kikundi. Kipi kifanyike kipi kisifanyike

Pia kwa vikundi vidogo au biashara ndogo watasaidia kuweka sawa na kuandaa hesabu zao za kibiashara
Note: biashara ndogo/ vikundi vidogo

Karibu tushirikiane na kupata msaada pia kuandaa/ kuandika maombi ya tenders, business proposal au business plan.

Huduma hizi zote ni BURE BURE BURE

Wasiliana kupitia Email: darajabusiness@gmail.com
 
Back
Top Bottom