Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu au uliwahi kuwaibia wateja wako?Hii Kazi sio rahisi
Hasara ongezea Winga wengi wanaogopa Askari wakikujua Wewe ni Askari wanaishi na Wewe kwa mashaka sana maana muda wowote kinanuka
Nimefanya uwinga miaka takribani mitatu na hadi leo huwa nafanya sijawahi kukutana na polisi. Wewe umekutana nae vipi mkuu tuelezee?Hii Kazi sio rahisi
Hasara ongezea Winga wengi wanaogopa Askari wakikujua Wewe ni Askari wanaishi na Wewe kwa mashaka sana maana muda wowote kinanuka
Hawa wanaharibu mada kabisa.SIENDELEI MPAKA TITLE IRUDISHWE ILE MM SIJAANDIKA DEFINITION HIYO KUWA TITLE
Moderator MTAMALIZIA HII MADA
Wamemalizia kwa kusema ......ili apate chochote 😆
Ohke, gotchaHawa wanaharibu mada kabisa.
Mkuu swali la kizushi, kwa mfano nkiamua kwenda kwenye haya machimbo kuchukua tu mzigo wangu binafsi wa kuvaa na kupendeza, ntauziwa these same prices au napo ntauziwa bei ya Juu?
Au huku kote ni mzigo mkubwa wa jumla pekee?
(Nauliza kwa hisani ya watu wa mikoani)
Vipi upande wa Crocs soko lake likoje jumla na rejarejaOhke, gotcha
Bidhaa za kariakoo NYINGI zinauzwa jumla kuanzia tatu (3) hili utalikuta kwenye tisheti na gauni. Hapo utakuta tishet bei ya reja ni elfu 15 na ukichukua tatu ni elfu 10 tu. Gauni nyingi ni 22, 25 mpaka 35 ukichukua tatu. Usipofikisha tatu pea hiyo lazima itaongezeka kama elf 5 hiv kwa mana itakuwa ya rejareja
Kuna nguo breakout yake ni nguo pis 5 hasa jinzi, neti na baadhi ya maduka kwenye gauni nk. Kuna nguo pis 10 hasahasa shuka, nguo za ndani yani (set), kuna baadhi mpaka uchukue dazeni hasa chupi na sididria kwemye naduka ya jumla kule sikukuu na mchikichi.
Bei ya jumla hainaga negotiation , lakin jumla huanziaga pis 3 kwa kwa wale wanaovaa. Lakin ukikutana na maduka yanayouza kuanzia pis 10 kama jumla huwez kuuzia chini ya 10 kwa bei ya jumla.
Mawinga wa Simu mbovu na laptop mbovu wananielewa vizuri ongezea na TV mbovu yaan kiujumla Vifaa vya electronic wananielewa nazungumzia niniNimefanya uwinga miaka takribani mitatu na hadi leo huwa nafanya sijawahi kukutana na polisi. Wewe umekutana nae vipi mkuu tuelezee?
huyyo mfokoaji wa wageni mtaa wa kongo na narung'ombeNimefanya uwinga miaka takribani mitatu na hadi leo huwa nafanya sijawahi kukutana na polisi. Wewe umekutana nae vipi mkuu tuelezee?
na sabufa mbovu ukifungua ndani mashine ndogo kama jamaa ya 600Mawinga wa Simu mbovu na laptop mbovu wananielewa vizuri ongezea na TV mbovu yaan kiujumla Vifaa vya electronic wananielewa nazungumzia nini
Crocs zinatofautiana sana kuna crocs zinzuzwa elf 6 mtaani, ninyeboyebo laini na kuna crocs zina cheni na nakshi wanavaa sana wanawake hizi kariakoo wanauza elfu 13 mpaka 16 kutegemea na upepo wa soko. Hivi viatu vinanunuliwa kwenye Kiroba chenye pea kama 40 hiv.Vipi upande wa Crocs soko lake likoje jumla na rejareja
nenda shamba la bibi zinauzika sana,jengo la hongkong kuna mchina botbuyVipi upande wa Crocs soko lake likoje jumla na rejareja
Winga anauza bidhaa za duka la Mashariki pale full stop. Hizi za vitu vibovu ni level ya tamaa ya mtu binafsi kuwa juuMawinga wa Simu mbovu na laptop mbovu wananielewa vizuri ongezea na TV mbovu yaan kiujumla Vifaa vya electronic wananielewa nazungumzia nini