Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
- #41
raraa reree Crocs zanzibar soko lake sio dogo. Mana ni moja kati ya sare za wapishi kwemye mahotel yote kule. Kwq bongo ni viatu tu kama viatu vingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wale wanauza TV used mbovu zilizopita kwa mafundi yaan TV body inasoma LG Ila ukiiwasha sio LG ogopa sana niliuziwa Simu kitochi toka kwenye box kabisa Ila ni used walichokofanya wale Wahuni ni kubadirisha Jumba tu la Simu wakaweka Jumba Jipya Ila ndani Simu used imechokonolewa kwa fundi mbaya sasa nafika home kitu chaji haipeleki hapo ndipo walipofeli alafu niliporudi nikatupia na kiatu changu cha kazi walipoona kiatu nilipewa Simu mpya halali kabisa sealed haijachezewa popoteNimefanya uwinga miaka takribani mitatu na hadi leo huwa nafanya sijawahi kukutana na polisi. Wewe umekutana nae vipi mkuu tuelezee?
Mpaka upate kandarasi sasa kwenye hizo hotelraraa reree Crocs zanzibar soko lake sio dogo. Mana ni moja kati ya sare za wapishi kwemye mahotel yote kule. Kwq bongo ni viatu tu kama viatu vingine
Ulinunua kwa kishoka au dukani? Mm hizi experience ndo nasikia kwako. Kuna ghorofa pale chimbo linauza simu bei nzur kabisa Aggrey na Likoma kuna ghorofa mpya pale ina mishemishe sanaKuna wale wanauza TV used mbovu zilizopita kwa mafundi yaan TV body inasoma LG Ila ukiiwasha sio LG ogopa sana niliuziwa Simu kitochi toka kwenye box kabisa Ila ni used walichokofanya wale Wahuni ni kubadirisha Jumba tu la Simu wakaweka Jumba Jipya Ila ndani Simu used imechokonolewa kwa fundi mbaya sasa nafika home kitu chaji haipeleki hapo ndipo walipofeli alafu niliporudi nikatupia na kiatu changu cha kazi walipoona kiatu nilipewa Simu mpya halali kabisa sealed haijachezewa popote
Zabuni.. hizi ni sare ambazo mpishi ananunua mwenyewe kule uhitaj wa crocs hasa nyeusi na dark grey ni mkubwa mkuu muhimu ni kutengeneza brand na kufika mazingira husika hasa Nungwi, paje, Na kuna kituo kinaitwa Saateni unajikita humoMpaka upate kandarasi sasa kwenye hizo hotel
Au ongezea nane mwishoni hapo alafu uwasiliane naeUlinunua kwa kishoka au dukani? Mm hizi experience ndo nasikia kwako. Kuna ghorofa pale chimbo linauza simu bei nzur kabisa Aggrey na Likoma kuna ghorofa mpya pale ina mishemishe sana
071625540.. namba ya mwisho nakutumia inbox.
Uende dukani kwake usimtumie hela ukaanza kunisumbua
Karibu 🤗Uzi mzuri huu jamani
asee niimekuvulia kofia kamandaZabuni.. hizi ni sare ambazo mpishi ananunua mwenyewe kule uhitaj wa crocs hasa nyeusi na dark grey ni mkubwa mkuu muhimu ni kutengeneza brand na kufika mazingira husika hasa Nungwi, paje, Na kuna kituo kinaitwa Saateni unajikita humo
Hongera mkuuUTOFAUTI WA POINTA NA WINGA
1. POinta anatoa pesa yake mfukoni, anachagua kitu kizuri ananunua na kwenda kuuza wakati winga hatoi hela mkononi, winga huwa anauza maneno mpaka mteja alipie bidhaa ndipo akamnunulie.
2. Pointa ni steji nzuri sana kibishara inakuza mtaji, inakuza network inakuweka ukaribu na wafanyabishara wemzako na wanunuzi
3. Winga hawez kukua kibiashara/haweki pesa hana hasara wala hana makaz maalum
4. Pointa ni njia sahihi ya kukuza mtaji na kuaminika
MFANANO
1. Uchangamfu
2. Kujua bei na hitaj la bidhaa husika kulingana na mtu na mtu
3. Wote ni wafanyabiashara wadogo wenye hulka ya kukuza brand zaidi na wepesi kuhama duka kulingana na bei husika kwa kadri wanvyopata unafuu wa bei
ADVANCED WINGA
kumeuibuka baadhi ya watu wakidai kuwa wanakuagizia bidhaa nje ya nchi eidha China kwa bei nafuu. Hawa wanaagiza mizigo mikubwa ili wapate bei nzuri lakin pia wanaweka faida ndogo sana kila pis. Watu wengi wanavutiwa na hili mana hawaweki pesa zao kuagiza. Unalipia ndipo uagiziwe. Hawa hawanaga bei ya USAFIRI specific, mzigo ukifika wanakupigia bei ya kusafirisha ndo ulipie. Ni too risk mana muda mwingine kuna namna ya anguko l kibiashara likitokea hawawez kukava hasara kwao na kuishia kutaka kugawana hasara na kila alieagiza kwao.
Wanakuaga na madeni hawq jamaa sio poa
ADVANCED POINTA
Hawa huwa na mitaji midogo, wanaweza kulipia mzigo kidogo ambao ni mzuri na wakaomba kupewa mara mbili ya walicholipia kwa mali kauli. Wakiuza hela wakalipe, hawa hata kariakoo watu waliokodi from ni wengi sana. Wanagewa mizigo ya watu wauze.. kariakoo ni ya wachache sana ile wengjne wanauzaga mizigo ya watu.
Mpaji Mungu advanced winga au pointa? Kuna jamaa pale kariako wanajiita TUTUME au yeye ndo mmiliki?
Hapa mi nakaa kimya kaka nakula darasa kama ww
Tuendelee kutake summary mkuu.Hapa mi nakaa kimya kaka nakula darasa kama ww
kariakoo watu waliokodi from ni wengi sana. Wanagewa mizigo ya watu wauze.. kariakoo ni ya wachache sana ile wengjne wanauzaga mizigo ya watu. Hii ni kweli 100%