Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

Naomba Exceptional ya section 4 ya ITA, 2004? short of which ni bla bla, lets talk law.
Acha siasa za wanasiasa , talk of law.
Ni sheria gan Tanzania inayotambua sekta zinazotokea kama informal sectoral kikodi? Na useme kwa nn inapingwa ili watu waformalize?

Mchakato wa formalisation ukoje? Na nn rationale ya kuformalize informal sector kama si kulipa kodi?
 
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesajili wafanyabiashara wadogo ‘machinga’ 5,273 katika zoezi lililoanza Februari mwaka huu ili kuwaingiza katika mfumo wa malipo ya kodi kwa makadirio.

Meneja wa TRA Mkoa wa Kikodi Kariakoo, Alex Katundu amesema usajili huo utawezesha wafanyabiashara kulipa kodi. “Tulibaini baadhi ya wafanyabiashara Kariakoo sio waaminifu. Haonekani wakifanya biashara ila mizigo yao mingi inasambazwa kwa machinga,” amesema.

“Sasa tunaendelea na kuwasajili wamachinga na wale tunaojiridhisha mapato yao ni zaidi ya Sh milioni 4 kwa mwaka wote walipe kodi,” amesema Katundualipokutana na kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu mkakati wa matumizi sahihi ya EFD kwa wauzaji na wanunuzi katika eneo la Kariakoo.

hivi pamoja na uwepo wa AI bado kuna watu wanafanya kazi ya translation???
mana hata samsung S24 inauwezo wa kutafsiri lugha sa kwa nn mtu amlipe translator wakat kuna software nyng tu za kutafsiri lugha?
Negotiation haiiwi succesful kwa kutumia AI Mkuu, ni sawa na utumie kamusi kushawishi mtu.

Maongezi ya man to man ni kitu tofauti sana.
 
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesajili wafanyabiashara wadogo ‘machinga’ 5,273 katika zoezi lililoanza Februari mwaka huu ili kuwaingiza katika mfumo wa malipo ya kodi kwa makadirio.

Meneja wa TRA Mkoa wa Kikodi Kariakoo, Alex Katundu amesema usajili huo utawezesha wafanyabiashara kulipa kodi. “Tulibaini baadhi ya wafanyabiashara Kariakoo sio waaminifu. Haonekani wakifanya biashara ila mizigo yao mingi inasambazwa kwa machinga,” amesema.

“Sasa tunaendelea na kuwasajili wamachinga na wale tunaojiridhisha mapato yao ni zaidi ya Sh milioni 4 kwa mwaka wote walipe kodi,” amesema Katundualipokutana na kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu mkakati wa matumizi sahihi ya EFD kwa wauzaji na wanunuzi katika eneo la Kariakoo.

Umeona hiyo? Maana yake wanawapeleka kuwaformalize mana tayari hawq watu ni informal ndo mana system ya ulipaj kodi haiwajui kabisa.

Inasambazwa ka machinga sababu hao teknikali, system ya kulipa kodi haiwajui ndo mana wafnyabiashara wanawapa hao wawauzie.

Mwishoni kabisa wamesema ataefika milioni 4, maana yake ambaye hafiki teknikali kawa exceptional tena kama mwanzon tu
 
Walipe kodi, mama anahitaji kodi aboreshe maisha ya Watanganyika, acheni janja janja, kutongozwa na kutongoza mnajua na majina ya gesti ila kulipa kodi hamjui ?
 
Kodi sio kila mtu alipe mkuu.. nyie lipeni tu mawinga hatuwez kusajili majina brela wala hatuna mitaji. Tunaish mitaani kwa maneno yaliyo matam kama asali.. nunua bidhaa weka dukani sisi tuishi
 
Kusajili jina BREL ni Tshs 20,000/-
TIN = Bure TRA.

Bado winga hawezi ila ya nyagi , ndom, mchemsho, mkongo, vumbi la kongo mnazo?
 
POINTA
hahitaji mtaji mkubwa sana anawez kuanza na jinzi zake 10 tu za Buku tatu mia tano yani jumla elfu 35. Akatenga hela ya kula elfu 3 mchana buku jero maji jero na asubuhi mihogo ya jero na juisi jero tu. Nauli kwenda kuanza kuzungusha mzigo 1000 achague kuzunguka kigogo tu au kinondoni.

Pointa hatakiwi kununua nguo kwq winga! Winga ukifika soko lolote utamjua tu. So, jitahid sana kumkwepa ili usigawane nae faida. Mana akipata hata jero kila pisi anakurudisha nyuma sana. Na nguo ili upate nzuri pointa unatakiwa kipindi belo linafunguliwa/katwa kama uwepo. Ukichelewa nguo nzuri lazima wenzio wabebe zote.

Muda mzuri wa kwenda ilala boma ni saa 4 mpaka 5 kwa nguo za watoto. Ashbuhi kwa blauzi, Gauni, suruali na tisheti. Epuka kwenda jumapili mana huwa ni siku ya mapunziko kwa watu wengi sana ilala na ijumaa kwq baadhi yao ambao wengi ni waislam
 
Ukifika sokoni Karume mtu akakukaribisha, ukienda kununua ujue unapigwa na hela atakayolipwa yeye. Yani kama flana unauziwa elfu 15 basi winga anakupiga elfu 5 nzima.
 
Nikitaka kuuza balo za mitumba kwa jumla au crocs jumla hapo kko fremu napata kwa bei gani
 
Au sio? Hiyo ndo njia ya kumjua winga au? Winga anauzaga kila kitu ukimwambia unataka soksi anakupleka akuuzie, ukimwambia taulo anakupleka yeye. Ukimwambia jinzi anataka akupeleke. Yani winga inshort anakuganda akuuzie yeye kila kitu.

Although wauza nguo za watoto wengi pale ilala wanawake so wa kiume ni mawinga. Alafu wanakuaga wanatembea kikundi.. mara nyingi sana anakubembeleza kweli ununue. Lakin pia ni washereheshaji sana na muda mwingine anawez kuwa tayari kwenda kubeba nguo sehem nyingine akuletee ulipo uchague . Watu hawa achna nao kabisa.. lakin pia usikubali kupokelewa nje ya soko na mtu eti akupeleke anapouzia

Scenario:
Kuna siku niko zangu ilala nikakutana na Bi mama sijui kama kichwa kilipata moto au lah! Ananiambia anatka nguo nzuri za watoto kwa buku mbilimbili kwa sabau ya wateja" hata salamu ilishjndikana mana alikuwa ameshikilia hili kama Wimbo. Na macho yake kama anataka kulia hivi.. sijui sasa huko alipotoka alilazimishwa ajitegemee au lah.

Kalaga baho nikampeleke kwabi mkubwa flani hivi.. ile ni mistake mana winga anakupeleka kwemye nguo za bukubuku mana tayari ushamtajia bei yako na yeye anataka aishi humohumo
 
Nikitaka kuuza balo za mitumba kwa jumla au crocs jumla hapo kko fremu napata kwa bei gani
Frem kariakoo too expensive mana utalipa na kilemba. Hapo kosa kosa andaa kilemba kama 15m hiv na from ndogo ni 300k kwa mwezi kama Kigoli hivi lakin kubwa ni 500+ ukitaka upate na store hapo utalipa kama 1M kwa mwaka mzima. Tathmin ya chap ni 12M kwa mwaka + kilemba 15M ni kama 27 hiv
 
From kariakoo too expensive mana utalipa na kilemba. Hapo kosa kosa andaa kilemba kama 15m hiv na from ndogo ni 300 kwa mwezi kama Kigali hivi lakin kubwa ni 500+ ukitaka upate na mistook hapo utalipa kama 1M kwq mwaka mzima. Tathmin ya chap ni 12M kwa mwaka + kilemba 15M ni kama 27 hiv
Mistook ndio nn bruh
 
Isome tena hiyo message mana nilikosea kosea sana lakin ukitaka Frem na store ni 1m kwa mwezi yani utalipa kwa mwaka milion 12. Kama utakutana na rungu la kilemba utalipa kama 25m hiv kwa mwaka wa kwanza. Yule Bi mama langu alilipa 28m kilemba na kodi pale sikukuu na mchikichi
I don gerrrrit
 
Back
Top Bottom