Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

Kariakoo sasahiv ina gepu la kukosa viatu vyenye quality nzuri mana watu wanataka cheap na lower price faida kidogo ila wametarget quantity. Jipange kuziba pengo hilo utatoboa chap sana ila kwa mitumba pia sio kariakoo kona zKe ni kule mnazi mmoja narungombe na Livingstone ukahangaike na wazungu na waarabu
Nikitaka kuuza balo za mitumba kwa jumla au crocs jumla hapo kko fremu napata kwa bei gani
 
raraa reree kun kampuni flani hivi inauza vitu quality sana iko Italy. Nimeshau jina ila mahotel mengi ya zanzibar yananunua decor kutoka kwao. Hawa jamaa products zao ni quality ila bei mbaya.

Mchina kariakoo kaharibu soko sana, zara na ujinga ujinga gani katoa quality ya level zote. Leo hii zara mpaka ya elfu 9 ipo
 
raraa reree kun kampuni flani hivi inauza vitu quality sana iko Italy. Nimeshau jina ila mahotel mengi ya zanzibar yananunua decor kutoka kwao. Hawa jamaa products zao ni quality ila bei mbaya.

Mchina kariakoo kaharibu soko sana, zara na ujinga ujinga gani katoa quality ya leo zote. Leo hii zara mpaka ya elfu 9 ipo
Mchina bongo kapaweza
 
Au sio? Hiyo ndo njia ya kumjua winga au? Winga anauzaga kila kitu ukimwambia unataka soksi anakupleka akuuzie, ukimwambia taulo anakupleka yeye. Ukimwambia jinzi anataka akupeleke. Yani winga inshort anakuganda akuuzie yeye kila kitu.

Although wauza nguo za watoto wengi pale ilala wanawake so wa kiume ni mawinga. Alafu wanakuaga wanatembea kikundi.. mara nyingi sana anakubembeleza kweli ununue. Lakin pia ni washereheshaji sana na muda mwingine anawez kuwa tayari kwenda kubeba nguo sehem nyingine akuletee ulipo uchague . Watu hawa achna nao kabisa.. lakin pia usikubali kupokelewa nje ya soko na mtu eti akupeleke anapouzia

Scenario:
Kuna siku niko zangu ilala nikakutana na Bi mama sijui kama kichwa kilipata moto au lah! Ananiambia anatka nguo nzuri za watoto kwa buku mbilimbili kwa sabau ya wateja" hata salamu ilishjndikana mana alikuwa ameshikilia hili kama Wimbo. Na macho yake kama anataka kulia hivi.. sijui sasa huko alipotoka alilazimishwa ajitegemee au lah.

Kalaga baho nikampeleke kwabi mkubwa flani hivi.. ile ni mistake mana winga anakupeleka kwemye nguo za bukubuku mana tayari ushamtajia bei yako na yeye anataka aishi humohumo
Winga anakusoma unavyokuja, umepiga jeans ki-modo anakwambia njoo nikupeleke kwenye jeans and mind you zile wanazofungua wanauza kwa buku nne mpaka 5 , zinazobaki ni serembua na mafua, wanazitundika wanaziuza kwa buku 15.

Alafu jina lolote lililopo kwenye Jeans wanakwambia hii ndio brand, usiache kabisa, sasa wewe ingia kingi!
Jeans zote za Karume na Kariakoo mtaa wa Uhuru pale China-plaza na Narungombe, na Aggrey , ukuta wa TBL wamezipaka mafuta ya kula, zinateleza na zinakuwa kama mpya, ukingia kingi ukanunua na kuzifua siku moja siku ya pili unaaigeuza gunia la deki.
 
Winga anakusoma unavyokuja, umepiga jeans kimodo anakwambia njoo nikupeleke kwenye jeans, na mind you zile wanazofungua wanauza kwa buku nne mpaka 5 , zinazobaki ni serembua , wanazitundika wanaziuza kwa buku 15!

alafu jina lolote lililopo kwenye Jeans wanakwambia hii ndio brand, usiache kabisa, sasa wewe ingia kingi!
Jeans zote za karume na Kariakoo mtaa wa Uhuru pale china-plaza na Narungombe, na Aggrey wamezipaka mafuta ya chakula, zinateleza na zinakuwa kama mpya, ukingia kingi ukanunua na kuzifua siku moja siku ya pili unaaigeuza gunia la deki.
Mafuta ya kula wanapaka na zile karatas za kaboni ya blue, hii tunaita mtui yani unakutana na nguo imekolea rangi vya kutosha alaf inateleza kama mpya
 
Mafuta ya kula wanapaka na zile karatas za kaboni ya blue, hii tunaita mtui yani unakutana na nguo imekolea rangi vya kutosha alaf inateleza kama mpya
Wacha kabisa, alafu sasa wanakaa jioni jioni zile taa ra barabarani zinazidi kungarisha, unashngaa jeans inapakwa mafuta na kupigwa karatasi ya blue, mazee hii bongo feki kuanzia chini mpaka juu!

#Wajinga hawaishi kila siku wanazinunua.
 
Mawinga mnaona? Hizi sweta machimbo yenyewe ni elfu 10 tu.. usipolijua chimbo utauziwa zaidi ya hiyo. So tunachokifanya ni huwa tunahamisha tu kutoka group moja kwemda group lingine kwa kuongeza buku 4 au 5 au 3
 
Attachments

  • Screenshot_20240719_105822_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240719_105822_WhatsApp.jpg
    648 KB · Views: 33
Ukiwa pointa, haya mambo ya uwinga kias lazima uyajue mana wote wanafanana utendaji na uendeshaji wao wa shughuli za kila siku.

Kama unataka kuwa pointa pia, jitahidi kujua chimbo na kona.

Ukiwa pointa wa mitumba kama ilala au karume unachotakiwa kukijua ni "negriation skills" kumekuwa na lugha nyingi za kibiashara. Muuzaji utamsikia mara kadhaa kulialia kuwa hailipi ila anakusaidia wewe kesho urudi, haina maslah au sio bei yake ila wewe ndo mnaanza kufanya biashara. Hizi ni lugha ambazo winga au pointa lazima azijue
 
Walipe kodi, mama anahitaji kodi aboreshe maisha ya Watanganyika, acheni janja janja, kutongozwa na kutongoza mnajua na majina ya gesti ila kulipa kodi hamjui ?

Kusajili jina BREL ni Tshs 20,000/-
TIN = Bure TRA.

Bado winga hawezi ila ya nyagi , ndom, mchemsho, mkongo, vumbi la kongo mnazo?
😂😂😂we mmama kiboko
 
raraa reree kun kampuni flani hivi inauza vitu quality sana iko Italy. Nimeshau jina ila mahotel mengi ya zanzibar yananunua decor kutoka kwao. Hawa jamaa products zao ni quality ila bei mbaya.

Mchina kariakoo kaharibu soko sana, zara na ujinga ujinga gani katoa quality ya leo zote. Leo hii zara mpaka ya elfu 9 ipo
gucci haahaa huyu mwamba nae mchina alichofanya daaaah
 
Ukiwa pointa, haya mambo ya uwinga kias lazima uyajue mana wote wanafanana utendaji na uendeshaji wao wa shughuli za kila siku.

Kama unataka kuwa pointa pia, jitahidi kujua chimbo na kona.

Ukiwa pointa wa mitumba kama ilala au karume unachotakiwa kukijua ni "negriation skills" kumekuwa na lugha nyingi za kibiashara. Muuzaji utamsikia mara kadhaa kulialia kuwa hailipi ila anakusaidia wewe kesho urudi, haina maslah au sio bei yake ila wewe ndo mnaanza kufanya biashara. Hizi ni lugha ambazo winga au pointa lazima azijue
Mkuu nahitaji kukufikia PM ila nashindwa, nakupataje?
 
Back
Top Bottom