Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

Chimbo la traks na sweat za elfu kumikumi kwa kibuta. Jezi hizi ni elfu 70 tu kwq pea kumi (bando) yani kila moja elfu saba
 
Attachments

  • IMG-20240716-WA0160.jpg
    IMG-20240716-WA0160.jpg
    158.6 KB · Views: 24
  • IMG-20240716-WA0161.jpg
    IMG-20240716-WA0161.jpg
    205 KB · Views: 25
  • IMG-20240716-WA0162.jpg
    IMG-20240716-WA0162.jpg
    133.6 KB · Views: 31
Pochi kali kama hizi unazipata mtaa wa agree na kongo pale kwa kina chuwa
Bei chee kabisa. Unakwama wapi kijana?

Kuanza tu ndo kugumu. Umeamliza chuo huna kazi unashindwa nn kusambaza upendo kama hivi. Unaweka bei ya kiwango ambacho mteja haumii sana na wewe upate
 
Attachments

  • IMG-20240722-WA0046.jpg
    IMG-20240722-WA0046.jpg
    586.4 KB · Views: 29
  • IMG-20240722-WA0023.jpg
    IMG-20240722-WA0023.jpg
    158.1 KB · Views: 25
  • IMG-20240722-WA0012.jpg
    IMG-20240722-WA0012.jpg
    74.7 KB · Views: 17
  • IMG-20240722-WA0014.jpg
    IMG-20240722-WA0014.jpg
    70.6 KB · Views: 19
  • IMG-20240722-WA0017.jpg
    IMG-20240722-WA0017.jpg
    69 KB · Views: 21
  • IMG-20240723-WA0028.jpg
    IMG-20240723-WA0028.jpg
    63.9 KB · Views: 19
Naweza kuziona, baiskeli mtaa wa mafia na swahili kule au muhoro na msimbazi umeenda?. China plaza pale ulifika?
Pochi kali kama hizi unazipata mtaa wa agree na kongo pale kwa kina chuwa
Bei chee kabisa. Unakwama wapi kijana?

Kuanza tu ndo kugumu. Umeamliza chuo huna kazi unashindwa nn kusambaza upendo kama hivi. Unaweka bei ya kiwango ambacho mteja haumii sana na wewe upate
Pochi kali kama hizi unazipata mtaa wa agree na kongo pale kwa kina chuwa
Bei chee kabisa. Unakwama wapi kijana?

Kuanza tu ndo kugumu. Umeamliza chuo huna kazi unashindwa nn kusambaza upendo kama hivi. Unaweka bei ya kiwango ambacho mteja haumii sana na wewe upate
 
Attachments

  • IMG-20240311-WA0014.jpg
    IMG-20240311-WA0014.jpg
    145.5 KB · Views: 23
Pochi kali kama hizi unazipata mtaa wa agree na kongo pale kwa kina chuwa
Bei chee kabisa. Unakwama wapi kijana?

Kuanza tu ndo kugumu. Umeamliza chuo huna kazi unashindwa nn kusambaza upendo kama hivi. Unaweka bei ya kiwango ambacho mteja haumii sana na wewe upate
Kwakina chuma ndo hako kauchochoro ikitokea Kongo kituoni unakaingia Kongo kushoto kunakauchorochora kana frem za pochi nyingii
 
malembeka18 hizi baskeli nazionaga mitaa ya Likoma kule au kuna mtaa unaitwa muhoro karibu na fire huku. Sijawah kupata muhitaj wa hizi.. so sijafanya deep searching. Can you give me some hints hasahasa expectations zako za bei.

Mtaa wa Muhoro uko karibu na stend ya mabasi ya Tegeta
 
Nahitaji disposable glasses zile za kunywea kwenye mabaa.

Nataka kuwa wakala wake mkubwa sanaaaa kwenye huu mkoa.

Nitaanza na box 20
Mwezi ujao nakuja kufanya jambo fulani Dar, hela yoteee nitakayoipata kwenye hilo jambo nitabebea mzigo.

Naambiwa ni k.koo kwenye ofisi za cello.

Naomba option/chimbo sahihi.

#YNWA
Nani kakwambia duka la cello kariakoo? Ile mitaa yenye duka la cello inaitwa Livingstone na Aggrey sio mbali sana na kituo cha basi cha msaada cha BAHRESA. Huko ni mitaa ya vyombo vya plastiki sana, brashi, viombo vya bati, udongo na visu na vifaa vjnavyofanana.

Si huko, hizo glass ni VIFUNGASHIO vya liquid tu, kama unavyoona zile take away za wali au chips.nk! Huko siko! Wewe unatakiwa uende mtaa mdogo unaitwa Pemba sio mbali sana kutoka kariakoo shimoni. Huko utapata hivyo, boksi za piza, chupa, dumu na mifuko ya kupakia nguo nk.

Kama sitakuwepo utampigia huyu anaitwa Idava store wako mitaa ya pemba 0714071331. Kama nitakuwepo tutawasiliana nikupeleke. Usitume hela, fika ofisin kwao ila ukitaka kujiagiza nifanye kazi hii wikend zote huwa napatikana kwa mishe hizi
 
Shukrani sana kwa elimu hii.

Umetoa chimbo la converse raba. Naomba kujua chimbo la raba kali na zile timberland boots
Maduka ya chimbo utanunua Katoni? Katon ya viatu huwaga ni pea 24 au 36. Ukifika kariakoo kuna wachina wanapatikana mtaa wa Congo na Narungombe mmoja anaitwa MA-HUA, mwingine anaitwa HAS-WAA ukiuliza mtu yoyote hapo atakuonesha maduka yao. haya mazingira wanauza viatu cheap!

Unataka kufanya biashara au?
 
Current price
23000 tu
Winga utauza kias gan hii?
 
Attachments

  • IMG-20240730-WA0048.jpg
    IMG-20240730-WA0048.jpg
    168.6 KB · Views: 22
  • IMG-20240730-WA0038.jpg
    IMG-20240730-WA0038.jpg
    143.8 KB · Views: 20
  • IMG-20240730-WA0037.jpg
    IMG-20240730-WA0037.jpg
    63.4 KB · Views: 21
  • IMG-20240730-WA0034.jpg
    IMG-20240730-WA0034.jpg
    162.1 KB · Views: 17
  • IMG-20240730-WA0032.jpg
    IMG-20240730-WA0032.jpg
    216.2 KB · Views: 10
  • IMG-20240730-WA0033.jpg
    IMG-20240730-WA0033.jpg
    163.8 KB · Views: 24
Nani kakwambia duka la cello kariakoo? Ile mitaa yenye duka la cello inaitwa Livingstone na Aggrey sio mbali sana na kituo cha basi cha msaada cha BAHRESA. Huko ni mitaa ya vyombo vya plastiki sana, brashi, viombo vya bati, udongo na visu na vifaa vjnavyofanana.

Si huko, hizo glass ni VIFUNGASHIO vya liquid tu, kama unavyoona zile take away za wali au chips.nk! Huko siko! Wewe unatakiwa uende mtaa mdogo unaitwa Pemba sio mbali sana kutoka kariakoo shimoni. Huko utapata hivyo, boksi za piza, chupa, dumu na mifuko ya kupakia nguo nk.

Kama sitakuwepo utampigia huyu anaitwa Idava store wako mitaa ya pemba 0714071331. Kama nitakuwepo tutawasiliana nikupeleke. Usitume hela, fika ofisin kwao ila ukitaka kujiagiza nifanye kazi hii wikend zote huwa napatikana kwa mishe hizi
Asante sanaa

#YNWA
 
Duh! Kama n hivyo na mm nitaanza kuleta huko. Sema madoni hapo kibao manaotokea mbweni na kijitonyama nasikia ndo center yenu hiyo
Yes, Mwenge hapa watoto wa vyuo hawawezi kwenda Kariakoo, kumbuka UDSM inabeba watoto 16,000, Ardhi 1,200, Ustawi 3000 na vyuo vingine vya afya na uuguzi. Hawa wote wana fanyiwa shopping boy friends zao wa chuo na pia ma'bazazi .
Ba'zazi hawaulizi bei, wao wanalipa tu na ndio maana machinga wa Mwenge ndio wanaongoza kwa kuringa Tanganyika nzima.
 
Wamepata mbala.. neno hli linatumika sana ilala boma pale. Mbala ni mteja anayemwaga hela bila kusita kuhusu bei aliyosikia
 
Uzi Unazungumzia quality quality tu, je kwa wale wanaotaka nguo kama vile fulana, na suluari mbalimbali kwaajili ya kwenda kuwauzia watu wa kipato cha chini huko vijijini kwa buku buku je chimbo la kupata hizo nguo za bei ya chini linapatikana wapi?
 
Unavyoona kuna uwezekano wa nguo mpya kuuzwa buku? Tuseme hujasomea uchumi kabisaa. Tumia akili uliyozaliwq nayo tu! Au unazungumzia upande wa mitumba?
 
Back
Top Bottom