Mitumba knatoka nchi nyingi sana duniani lakin zote ni za dunia ya kwanza. Nchinz Asia, Ulaya na America. Nchi za third world zote zinaagiza mitumba na unawez pia kuagiza moja kwa moja kupitia Alibaba.
Mitumba hii inatofautiana sana UBORA, ubora wa kitu kunaweza kuathuriwa sana na matumiz, muda wa matumizi, kias cha kujali na aina ya mtumiaji. Shati zilizovaliwa mwaka haziwez kuwa na ubora sawa na zile ziizovaliwa miez minne. Hivyohivyo nguo zilzotoka gereji huwez kufananisha na zile zilizotoka kwa ntu smart muuza duka. Etcetera
Hivyo mitumba hupanwa kwa grades kulingana na ubora wa kilichopo KIMUONEKANO