Nimemaanisha utoe madini na upande wa mitumba, ndio maana hapo juu nikasema huko juu kuwa uzi ume base kwenye vitu quality pekee (maanake ni vitu vya dukani) hivyo nimeomba uwazingatie na watu wanaotahitaji chimbo la mitumba.Unavyoona kuna uwezekano wa nguo mpya kuuzwa buku? Tuseme hujasomea uchumi kabisaa. Tumia akili uliyozaliwq nayo tu! Au unazungumzia upande wa mitumba?
Nimemaanisha utoe madini na upande wa mitumba, ndio maana hapo juu nikasema huko juu kuwa uzi ume base kwenye vitu quality pekee (maanake ni vitu vya dukani) hivyo nimeomba uwazingatie na watu wanaotahitaji chimbo la mitumba.
Naam natazamia kufanya hiliMaduka ya chimbo utanunua Katoni? Katon ya viatu huwaga ni pea 24 au 36. Ukifika kariakoo kuna wachina wanapatikana mtaa wa Congo na Narungombe mmoja anaitwa MA-HUA, mwingine anaitwa HAS-WAA ukiuliza mtu yoyote hapo atakuonesha maduka yao. haya mazingira wanauza viatu cheap!
Unataka kufanya biashara au?
So welcome to the industryNaam natazamia kufanya hili
Mkuu naomba TUKUTANE PM tuyajenge kibiasharaNimekutext
Mitumba knatoka nchi nyingi sana duniani lakin zote ni za dunia ya kwanza. Nchinz Asia, Ulaya na America. Nchi za third world zote zinaagiza mitumba na unawez pia kuagiza moja kwa moja kupitia Alibaba.
Mitumba hii inatofautiana sana UBORA, ubora wa kitu kunaweza kuathuriwa sana na matumiz, muda wa matumizi, kias cha kujali na aina ya mtumiaji. Shati zilizovaliwa mwaka haziwez kuwa na ubora sawa na zile ziizovaliwa miez minne. Hivyohivyo nguo zilzotoka gereji huwez kufananisha na zile zilizotoka kwa ntu smart muuza duka. Etcetera
Hivyo mitumba hupanwa kwa grades kulingana na ubora wa kilichopo KIMUONEKANO
Hizi sindo congo na narungombe kuelekea kwenye Madera...hizi pochi machinga wanauza 28000-30000Current price
23000 tu
Winga utauza kias gan hii?
Nani anataka taulooooooo?
Taulo zjnapatikana kwq mama Osama kwa elfu 4700 ukinunua bando ni 4300. Taulo ambazo kariakoo yote utanunua elfu 5. Kuna taulo kariakoo huuzwa elfu 10 nyeupe nzito! Hizi tafuta duk la mwishorafa lipo sikukuu na aggrey zinauzwa elfu 8500.
Nani anataka shuka za Pakistan? Huyu aende kitumbini bei ya jumla ni elfu 30 kwa pea wakati kariakook nzima wnauza 45
YesHizi sindo congo na narungombe kuelekea kwenye Madera...hizi pochi machinga wanauza 28000-30000
Kitumbin ni mnazi mmoja kule kwenye maduka ya khimjiKitumbini sehemu gani
pm naona hai function. tafadhali naomba namba yako kuna bidhaa nikutumie picha ili nijue bei yake ya jumla. najaribu ku atach picture hapa inaznguaHuu uzi wa mitumba niliandika moderator wakauunganisha na uzi gan sijui. Humu nazungumzia pointa tu, pointa hawez kuuza nguo buku. Hao wa sagula sagula ni wanunua jumla.
Wauza mitumba wako wa aina nyingi sana.
Mkuukwa tangazo hili, tayari umeishafanya uwinga. Upointa ni kitu gani mkuu?MACHIMBO
1. Simu, vifaa vya elekitroniki kama chaji, eafoni, adopter na TV nenda mtaa wa aggrey na Likoma/Msimbazi. Duka maarufu pale linaitwa Mashariki. Ingawq simu kwq zanzibar ni nafuu sana.. last time nimenunua A25 Samsung kwa 450 tu wqkati kariakoo yote ni 600+
2. Nguo za kike nenda mtaa wa mchikichi na nyamwezi, na mtaa wa muhonda na raha. Tafuta maduka kama ya baba d (mchikichi na Congo) nenda duka la Amos mtaa wa Raha na Muhonda. Tafuta duka la Dar kitonga pale wanyama hotel
Mkuukwa tangazo hili, tayari umeishafanya uwinga. Upointa ni kitu gani mkuu?
Mkuukwa tangazo hili, tayari umeishafanya uwinga. Upointa ni kitu gani mkuu?
nimekutext what's app0778321833