Namna shule za sasa zinavyoiua elimu yetu. Zimekaa kitapeli sana

Namna shule za sasa zinavyoiua elimu yetu. Zimekaa kitapeli sana

Basi yaache yakae nyumbani yaangalie makatuni au swagia kijijini kwa babu yao wakachunge mikia kama shule ni mateso.
Naona hujaelewa concept nzima mkuu

Kwani zamani walikuwa hawasomi? Je hawakuwa wanafaulu? Na sio kufaulu tu elimu sio kukariri na kufaulu tu ila ni yale maarifa unayatumia vipi katika maisha yako?

Hapo ndio tunaona ubovu wa elimu ya shule hizi!

Angalia movie ya 3 idiots ya amir khan utajifunza vingi na kujua nini maana ya elimu.

Kwanza elimu haipaswi kuwa mateso hata kidogo wana philosophy walishasema hilo .

Mwanafunzi anatakiwa aenjoy kusoma
 
No man kwenye vikao vyao nilishawaambia hilo kwangu halipo hawataki namuhamisha shule tu maana hawana huo ubavu ada nalipa

Mtoto wangu haendi shule weekend no nilishakataa hilo.
Michango isiyo na kichwa wala miguu nilikataa eti pesa ya remedial!

Ada tunalipa ya kazi gani? Nini maana ya ada?
Sasa tatizo linakuja pale watoto wa darasa la 3 wana anza kufundishwa masomo ya darasa la nne kwenye hizo remedial classes. Mtoto wako asipoenda hawarudii kuwafundisha wakiwa darasa la nne au siku za masomo zinazo fuata.
 
Wewe ni mwalimu unaye nufaika na huu upuuzi au mzazi asijua kuhusu umuhimu wa kupumzisha akili.
Unafikiri walioweka hayo mapumziko kisheria, kikanuni na kisera ni wapuuzi au wajinga?
Afya mtoto ni muhimu kuliko chochote kile.
Kuna mtoto wa dada mmoja jirani yangu hapa dogo kwenye makaratasi he is so good!
Ila shida inakuja kwenye afya yake kwa kumuangalia tu yupo kama zezeta ni yeye na shuleni, basi, nyumbani na ndani tu.

Sasa elimu gani hiyo?
 
Sasa tatizo linakuja pale watoto wa darasa la 3 wananza kufundishwa masomo ya darasa la nne kwenye hizo remedial classes. Mtoto wako asipoenda hawarudii kuwafundisha wakiwa darasa la nne au siku za masomo zinazo fuata.
Haya ndio tunayakataa

Ukiwaambia wanasema unawafundisha kazi
 
Naona hujaelewa concept nzima mkuu

Kwani zamani walikuwa hawasomi? Je hawakuwa wanafaulu? Na sio kufaulu tu elimu sio kukariri na kufaulu tu ila ni yale maarifa unayatumia vipi katika maisha yako?

Hapo ndio tunaona ubovu wa elimu ya shule hizi!

Angalia movie ya 3 idiots ya amir khan utajifunza vingi na kujua nini maana ya elimu.

Kwanza elimu haipaswi kuwa mateso hata kidogo wana philosophy walishasema hilo .

Mwanafunzi anatakiwa aenjoy kusoma
Basi na sawa, wizara ya elimu ilitazame hilo.
 
I can give you my testimony in two scenarios. Mtoto wangu alianza kufanya vibaya na kuwa na tabia za ajabu baada ya mama yake kulazimisha tuition akitoka shule hapumziki.
Tukajadili na mwalimu wake mmmoja mhindi sister wa Catholic church. Tukahisi anakosa mapumziko.
Nikagoma asisome tuition, kwa maajabu akaanza kufanya vizuri na kuwa na tabia nzuri tena. Huyo huyo Sasa yupo sekodari Kuna kipindi alikuwa hasomi remedial tuna mtafutia mwalimu wa tuition nyumbani na ku- manage muda wa kusoma akafanya vizuri sana. Baadaye shule wakaanzisha hizo remedial na akaanza kufanya vibaya.
Shule waalimu wanataka pesa tu.
Hii ni kweli, hili jambo linahitaji ufumbuzi.
 
Basi yaache yakae nyumbani yaangalie makatuni au swagia kijijini kwa babu yao wakachunge mikia kama shule ni mateso.
Kuchunga mifugo sio mateso ni njia nzuri pia kwa watoto kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo na uongozi. mtoto akiweza kuchunga mifugo vizuri anajifunza mengi ikiwemo jinsi ya kuongoza kwa mfano badala ya kupenda kuwa mtu wa kutumia nguvu nyingi kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom