Namna ushindi wa Yanga ulivyonipa utamu wa mtoto wa boss wangu

Chai ya mchai chai na tangawizi
 
Acha ujinga usituone sisi wavulana wenzio.
 
Una dhambi nyingi sana nzito nzito
 
Huu uongo haufai hapa Jf. Peleka huko insta au facebook!
 
Siku nyingine ukipika chai jitahidi kubalance mdalasini. Wengine sio watumiaji
 
Hii chai imezidishwa sana viungo! Kama tangangawizi ndio imekua nyingi sana hadi hainyweki
 
Bora huyu aliyechakatiwa mke, huku niliko mkoa xxxx tumemzika shabiki wa Yanga ambaye alianguka na kuzimia na kupitiliza umautini baada ya Yanga kufungwa goli. Alikufa bila kushuhudia Mayele kusawazisha na kufunga bao la ushindi.
 

Hii chai ya moto
 
Sibishi wala siamini ila ikiwa kweli basi hao wanatomba niana wake kila mmoja anajua
 
Siyo kweli, hii ni chai chumvi, ntakubishia hadi asubuhi, hamna mtu anaweza kufanya hivo mbele ya mkewe/mumewe bana
Chai kabisa katuletea, kwanini na yule mke wa shabiki wa Yanga iliyoshinda naye asichakatwe na wa Simba ili kukoleza ushindi? Yaani wakae saa nzima wapenzi wao wakichakatana chumbani wao wakisubiria,
Chai tena ya baridi
 
Salamu wana jamvi...

Baada ya salaam niende moja kwa moja kwenye Mada

Kijana mmoja anaefahamika kwa Jina la Maziku kutoka Kibaha alichukua maamuzi ya kumuweka mke wake bond ikiwa tu timu ya Simba itaweza kuifunga timu ya Yanga.

Tukio hilo lilifanyika mbele ya mashahidi kabla ya mechi ya Yanga vs Simba kuanza, wakasainishana na mashahidi wakiwepo ambao nao pia walisaini.

Baada ya mechi kuisha na matokea yakasoma Yanga imeweza kuishinda Simba, bwana Maziku alichukua maamuzi magumu ya kwenda kukabidhi mke wake kwa mtani wake bila kubisha.

Inavyosemekana kwa sasa bwana Maziku yupo single.

Swali
Je! Ni kitu gan unaweza kuweka km bond kwenye ushabiki wa hizi derby za Simba na Yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…