Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

Story nzuri kweli, ila mi hua simwelewi mwanaume mwenzangu anayekuja kuniambia tuwende sehemu ye ataghalamikia kila kitu af tukale na tunywe tupige story af turudi makwetu kama sina hela yangu kiukweli siwezi labda nyie wenzangu
Unaogopa nini?
 
Nimesoma hii Story maanzo mwisho ni nzuri sana na inafunzo kubwa sana juu ya kuamini ushirikina..ila kwa Maoni yangu nilitegemea jamaa wangetapeliwa kwanzia M3 au 5..nimekuwa disappointed sana safari yote hiyo ya shurba mnganga anatapeli laki 3?...

Kamughisha na Mwadishi poleni kwa kupoteza MUDA lakini sio PESA [emoji3][emoji3]
 
Mkuu hongera sana kwa elimu hii kubwa unayoitoa,hakuna mafanikio ya shortcut...Mungu alishasema tutakula kwa jasho,sasa watu tunataka kula bila jasho haitawezekana...hayo maeneno ya Namanyere mpk Kilando nimewahi fika,nimewahi kaa pale chuo cha St.Bakitha..hakika umeyatendea haki maelezo ya haya maeneo.
 
Kubwa kivipi mkuu bajeti ya kamugisha unaijua na je unajua alihitaji apate utajiri kiasi gani???
Hawa jamaa hawakuvuka milioni 2 bajeti yao kwa taarifa yako. 300K x 3 plus usafiri na malazi tufanye 1mil...hawakuvuka 2mil.... ambayo ni pesa ya kawaida kwa dokta na dhamira ya kazi.

Sasa kariakoo 2mil labda uwe chinga muuza urembo au maji.
 
Waganga ni matapeli sana mkuu.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimesoma kwa umakini ila kama a nataka Dawa huku zipo nilipo tz hii hii sio kwenda mbaliiiiii nicheck
 
Aiseeee ila wacongo na wanaija ni watoto wa baba mmoja kwa utapeli hawajambo...nimewaza mlivyolala uchi kwenye hayo mashimo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…