TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Watoto wa ngozi yetu hawaaminiki. Akishajua njia zote za mali zako anaweza akakutanguliza ahera ili yeye ndio awe bosi aonyeshe ukidume wake duniani kwani ulikuwa unamcheleweshaKwetu watu wana andaliwa kubeba Mikoba zingatia neno Mikoba
bra hata hiyo,wengine wapo wapo tu kama wanawake wa zanzibarKwetu watu wana andaliwa kubeba Mikoba zingatia neno Mikoba
Hiyo haitokani na ngozi bali huwa inatokana na malezi ya mtoto from the word go.Watoto wa ngozi yetu hawaaminiki. Akishajua njia zote za mali zako anaweza akakutanguliza ahera ili yeye ndio awe bosi aonyeshe ukidume wake duniani kwani ulikuwa unamchelewesha
hoja ya msingi ni kwanini wenzetu wanaweza kuendeleza mali zao vizazi kwavizazi lakini sisi tupotupo tu kama mafala na imani za kikuda,katika hii dunia hakuna kitu cha thamani utakipata wa njia a kawaida hakuna lazima udambwidambwi uwepo lakini,tumefanya udambwidambwi tukapata sio issue,tnawezaje kukifanya kile tulichokipata kkwa udambwidambwi kikawa na manufaa kwa vizazi vyote?Acha tuseme: Ukichunguza utajiri wa watu weusi wengi hapa Tanzania, chanzo ni wizi, uhalifu na madhambi mengine. Wachache sana wameanza kwa kazi halali na wakainuka kwa ku save. Hiyo ni dosari ya kwanza. Mali ya uhalifu haina baraka na aghalabu inapotea mapema.
Watu weupe pia hufanya uhalifu ila kwa asilimia huwezi kufananisha na sisi. Pia, aghalabu hufanya uhalifu katika stage ya kutafuta mtaji, baada ya hapo wanachapa kazi kuendeleza mtaji wao. Mtu mweusi aweza kuiibia serikali kwa miaka 50 hadi akamatwe au afe!
Umemaliza mkuu...Kingine sisi Wanaume tunaendekeza kei sana, kwahiyo ukiwa na mali biashara, tunahakikisha tunazaa na kila mwanamke hadi wale wenye makalio makubwa huku kichwani wakiwa empty
Mkuu kwani si unarithisha ulichonacho???Kwetu watu wana andaliwa kubeba Mikoba zingatia neno Mikoba
Kwa kuanzia mtoto anapewa Misukule miwili wakujifunzia kazi🤣🤣🤣🤣Mkuu kwani si unarithisha ulichonacho???
Shida ni kurithisha watu vitu vinapenda unga halafu hawaachi mahindi😂😂😂.
Mkuu sio poa😂😂😂🫵Kwa kuanzia mtoto anapewa Misukule miwili wakujifunzia kazi🤣🤣🤣🤣
Ukiona mzazi wako anasema hizi mali ni za kwangu na mama yenu utakuta mali zenyewe mbuzi tu,ukiwa na mabilioni kama ya Dewji lazima uandae mrithi,hii inakuja automatically....Huyukushoto ni mtoto wa Mohamed Dewji,anaitwa ABBAS ndiye mrithi wa mali zote za ukoo na msimamizi (ameshateuliwa),sasa hivi anazunguka nae katika kila sula la biashara na anaingia naye kwenye vikao vya bodi ya wakurugenzi ya METL.
Huyu katikati ni WAMKELE MENE , Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA).
Wazzi wa ngozi nyeupe utasikia hizi mali ni zangu na mama yenu tafuteni zenyu,wanakufa wanaaca migogoro ya mali,shenzi.
View attachment 3667186
Mkuu punguza dharau mbuzi sio Mali???😂😂😂 JokesUkiona mzazi wako anasema hizi mali ni za kwangu na mama yenu utakuta mali zenyewe mbuzi tu,ukiwa na mabilioni kama ya Dewji lazima uandae mrithi,hii inakuja automatically....
Hiyo mentality ni ngumu,mifano ni mingi,si kwamba eti wenye mabilioni wanaandaa utaratibu sio wote,mfano Rwakatare unasikia migogoro ya mali kwa watoto wake?,kuna jamaa yangu wanafuatilia mali za mzee wao zilizohujumiwa na ndugu na pesa bank zaidi ya 1B.Ukiona mzazi wako anasema hizi mali ni za kwangu na mama yenu utakuta mali zenyewe mbuzi tu,ukiwa na mabilioni kama ya Dewji lazima uandae mrithi,hii inakuja automatically....